Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

juu ya utetezi wako. Lkn bado lowasa ni mdini. Kukataa kuvaa kanzu mungu kamuumbua. Kavaa suti nyeusi kumaanisha yupo msibani hasa ya yeye kufunga mktaba na makanisa hapa nchini


kwani msibani watu hawavai kanzu?
 
ameanza harambee na huko, sie huku ametuchosha ametuma ujumbe kanisani kwetu eti kama tuna harambee tumjulishe.

Kusema uongo ni dhambi, kamwe haiwezekanii, acha uongo wa kitoto. Acha kuwa na chuki binafsi zitakufanya usifanikiwe kwenye maisha yako ndugu yangu, hata ukifanya sala kwa Mungu wako haitakuwa na majibu zaidi ya kujiletea mikosi.
 
sI UNAJUA HUYO NI ADUI MKUBWA WA WAISLAM TZ? KITENDO CHA KUFUNGA MKATABA WA MOU NA MAKANISA NDICHO WAISLAM WNAACHOMPIGIA AKINYANYUA TU KIDOLE CHA KUTAKA URAIS. MAANA JAMAA NI MDINI NDIO MAANA KAONA AKIVAA KANZU ATAINGIA NAJSI. HIO ROHO ALIONAYO LOWASA KWA WAISLAM WATZ. WAISLAM WATZ WASHAJUA WANAMWACHA TU ASAGE KWENYE MABUSATI YA MISKITI.
CCM IKIJIPENDEKEZA KUMPA KIJITI CHA KUMPOKEA KIKWETE BASI WAJUE CHAMA CHAO KITAKUWA KUMBUKUMBU TU

Hapo ndipo waislam wenzetu tunapoangushana. Kwani kuvaa kanzu ni lazima. Kanzu si vazi tu kama yalivyo mavazi mengine. Waislamu wangi mbona huwa wanaingia msikitini bila kanzu? Leo iwe kwa Lowasa mkristo? Tena sehemu yenyewe siyo msikitini, ni mnazi mmoja. Tuache hizo ndugu zangu.
 
Lowassa, anawafanya Chadema wote wanahara hovyo...na bado
 
kuvaa au kutovaa kanzu hakuwezi ku justify huo uwongo mnaoeneza,huku JF kuna watu wengi wamehide id zao za kweli,binafsi mimi ni mwislamu lkn sikubaliani kuwa kutovaa kanzu tayari ni mdini au ni adui wa waislamu,sidhani kama lowassa alikwenda pale bila kualikwa,na pia angealikwa na asiende bado mngetokota hovyo kama mnavyofanya au angevaa bado mngeropoka tu huku jf tunajua kuna vibaraka wengi wanatumika kuchafua watu..shame up on u....
 
hapo ndipo waislam wenzetu tunapoangushana. Kwani kuvaa kanzu ni lazima. Kanzu si vazi tu kama yalivyo mavazi mengine. Waislamu wangi mbona huwa wanaingia msikitini bila kanzu? Leo iwe kwa lowasa mkristo? Tena sehemu yenyewe siyo msikitini, ni mnazi mmoja. Tuache hizo ndugu zangu.
tatizo kubwa aliofanya lowasa ni makataba wa mou. Ndio maana hata walimu wakuu wa ndanda leo wanajeuri ya kukataa amri ya waziri kwa kuwa ni muislam
 
mimi naona huyu Sheikh Freeman bin Mbowe pamoja na uhuni wake nadhani atatufaa zaidi kuliko huyu Edward "MoU" Lowassa

Mtu unaweza kufikiria kuwa Lowassa kajifunza kitu kumbe hana lolote bado anawendelea kuwadharau waislam


ushahidi huu hapa:

cover.jpg





saba.jpg

Nani kasema kuwa hiyo ni saini ya Lowasa? amakweli watu wakikuchukia hata kama ukikohoa wanasema umejamba, Je hao viongozi ambao ni waumini wa kisilamu wote ni wazuri kihiiivyo. Si muungu mkono lowasa, lakini sasa imekuwa too much utafikiri yeye ndo amesababisha shida zote tulizo nazo, Niliwahi kusema before kuwa tumezoea kumlaumu kwa kila kitu, hata jua likiwa kali utasikia, hii yote ni Lowasa, mpaka sasa wengine hata wakijingata wakati wakila watadai Lowasa, this is ridiculous , Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Tunapoingiza Udini katika politics hatutafika popote, tumkatae mtu kwa utendaji wake na si kwa dini yake, jinsi hali ilivyo lazima jihadi itatokea hapa tanzania.
 
Back
Top Bottom