Loving you Mahondaw

Nyie watu, mi fan wenu kitambo.. Nasubiri kadi tu ya harusi..

Screenshot_20240229-212618.png
 
Katika siku hii ya wanawake ya Duniani, napenda kusema kwamba wewe ni mwanamke mwenye nguvu fikra, ujasiri, na upendo wa hali ya juu..

Mahondaw wangu wewe siyo tu mpenzi wangu bali pia, faraja yangu katika kila changamoto, furaha au huzuni...

Mahondaw unapoadhimisha siku ya wanawake Duniani, ninapenda kukuonesha heshima yangu ya kipekee kwako, kwa kila kitu unachofanya na kwa kua mwanamke mwenye thamani isiyo na kifani...

Ujasiri wako wa kukabiliana na vizuizi, dharau, kejeli, makasiriko, chuki, lawama, hekima yako pekee ndiyo imekufikisha hapa kamwe usije ukatoka nje ya mstari, simama au simamia unachoamini...

Mahondaw wangu mapenzi yake ya dhati vinanifanya kujivunia kuwa na wewe kila siku...
Nakutakia siku ya leo na kila siku zijazo ziwe zenye thamani kwako, nakutakia furaha na mafanikio...

Nakupenda πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

_b4e7aadc-794a-4a5a-8f39-2a1e3946d955.jpeg

Mahondaw
 
View attachment 2927829
Mahondaw

Smart911 my love , Thanks for taking care of me, giving me advice, listening to me always. I know there are no words to explain how lucky I am to have you babe. You're one of a kind Smart.

Changamoto zipo kuchukiwa kupo wivu upo roho za kutu na kunguni zipo maumivu pia yapo.
What happen to us sio kitu kipya mpenzi wangu hakijaanza jana wala juzi but started long time ago and everyone knows walaa tusipate tabu my love.

You have within you the power to change me. Only you Smart911
Asante kwa ushauri wako mzuri babe wangu

Your care, support, encouragement, and love has transformed my life. Thank you for being you. Being with you is the easiest choice I have ever made, and I'm so lucky I get to make it every day.

I love you much more my forever love babeπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’•πŸ’•
 
Attachments

  • Screenshot_20240309-092706~2.jpg
    Screenshot_20240309-092706~2.jpg
    20.1 KB · Views: 5
"Happy women's day, all I can say"

Smart911 Ile mbunu yako ile Siku sijui uliwazaga nini hahahah
By the way I love it babe
Huwa narudiarudia kusoma ule uzi Nacheka na kufurahi kwa pamoja!

Hakika Sijutii kukufahamu mpenzi wangu una ukichaa wako fulani amaizing unanimarrrrliiza sana πŸ’‹πŸ’‹πŸ’•

Roho yangu mie
 
Smart911 my love , Thanks for taking care of me, giving me advice, listening to me always. I know there are no words to explain how lucky I am to have you babe. You're one of a kind Smart.

Changamoto zipo kuchukiwa kupo wivu upo roho za kutu na kunguni zipo maumivu pia yapo.
What happen to us sio kitu kipya mpenzi wangu hakijaanza jana wala juzi but started long time ago and everyone knows walaa tusipate tabu my love.

You have within you the power to change me. Only you Smart911
Asante kwa ushauri wako mzuri babe wangu

Your care, support, encouragement, and love has transformed my life. Thank you for being you. Being with you is the easiest choice I have ever made, and I'm so lucky I get to make it every day.

I love you much more my forever love babeπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’•πŸ’•

All i know sweetheart, loving you its not a lossing game...

_42795a8a-6ba7-4c80-910d-6808faf8216d.jpeg

Mahondaw
 
Katika siku hii ya wanawake ya Duniani, napenda kusema kwamba wewe ni mwanamke mwenye nguvu fikra, ujasiri, na upendo wa hali ya juu..

Mahondaw wangu wewe siyo tu mpenzi wangu bali pia, faraja yangu katika kila changamoto, furaha au huzuni...

Mahondaw unapoadhimisha siku ya wanawake Duniani, ninapenda kukuonesha heshima yangu ya kipekee kwako, kwa kila kitu unachofanya na kwa kua mwanamke mwenye thamani isiyo na kifani...

Ujasiri wako wa kukabiliana na vizuizi, dharau, kejeli, makasiriko, chuki, lawama, hekima yako pekee ndiyo imekufikisha hapa kamwe usije ukatoka nje ya mstari, simama au simamia unachoamini...

Mahondaw wangu mapenzi yake ya dhati vinanifanya kujivunia kuwa na wewe kila siku...
Nakutakia siku ya leo na kila siku zijazo ziwe zenye thamani kwako, nakutakia furaha na mafanikio...

Nakupenda πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•

View attachment 2927829
Mahondaw
Shehe wetu kumbe huwa unaandika waraka wa amani namna hii!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom