Love

Haya bana kila lakheri...sijui hawa wadogo zetu waso na degree wataolewa lini maana kla siku kigezo n degree na sio uwezo wa kuzaa, kulea famlia, upendo, heshima kwa wazazi na ndugu wa pande zote, kumcha MUNGU na mambo kama hayo yasiyopatikana darasani..
 
Hi all , Nahitaji mchumba ambaye anajiheshimu na mwenye kupenda kusoma , sifa kubwa awe ana Bachellor ya science hasa biological science or Education, nipo serious kwa mdada wa ki tz aliejaliwa hizo sifa ani PM her contacts inbox. Life is all about love!!!
mimi nina BEDSC (Biology) napenda kusoma na nina GPA nzuri, mwaka jana nimeanza master of science with Education pale UDSM namejor biology,nina 26yrs, Ninampango wa kusoma mpaka PHD na double degrees ikiwezekana. Ila uwe kwanza full sponsor wangu wa shule kabla ya posa na dates.
 
Haya bana kila lakheri...sijui hawa wadogo zetu waso na degree wataolewa lini maana kla siku kigezo n degree na sio uwezo wa kuzaa, kulea famlia, upendo, heshima kwa wazazi na ndugu wa pande zote, kumcha MUNGU na mambo kama hayo yasiyopatikana darasani..
um
umesema kweli , mapenzi ya kweli hayana mipaka ya elimu , dini, kabila, urefu ,ufupi n.k...., Sijui wenye Diploma, Ad-dip n.k wataolewa na nani?, Lakini mchangua nazi hupata koroma au kuchamba sana mwishiwo kushika..........
 
aisee, mganga wako wa wapi?

Sijui zamu ya manesi itafika lini, au wanatuogopa sababu ya night shift

Nipo supermarket tayari, naona watu na mabandiko yao wanahitaji wachumba walimu.....
yani hadi sahivi kigezo cha umri tu ndo kinanikosesha ndoa mie!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom