Love my baby girl, but she did not trust me at all

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,185
mambo vipi wana jf? kiukweli nampenda sana huyu malaika, the way she is! but unfortunately haamini maneno yangu, sijui kwa nini, ushauri please........what can i do to ensure her that i am in love with her.
 
Huenda nae anakupenda ila tatizo hana uhakika kama utautunza moyo wake/anaogopa kuumizwa.
Wanawake ni werevu sana kwa kuwa wengi huona mbele ila kupenda kwa dhati ndo kunakowagharimu, we mpe muda wa kujiuliza maswali na kujihakikishia km akuamini au lah.
 
Actions speak louder that ur words..punguza kumwambia kwa maneno prove kwa matendo

Nakubaliana na wewe Khokhama, inawezekana maneno na matendo ya bwn mdogo hayaendani ndiyo maana binti anasita sita. Kuonyesha vitendo na kubadili tabia kunaweza kumsaidia. Na cha kuongezea, wanawake wengi si warahisi kihivyo hususan wanaotaka kuwa na mustakabali wa maisha yao ya baadaye hivyo ni lazima kuinvest katika muda na kumfuatilia huyo dada mpaka approve kuwa anampenda ....
 
thank you a lot the friends of Mine, Great Thinkers............
 
Wana JF mimi ni kijana wa kiume na niko katika serious relatioship na msichana mmoja na tunapendana kiukweli.Tuna future plan za kuja kuwa pamoja for life na kufanya mambo mengi tukiwa kama couple.Tumekuwa in a relationship more than 3 months now.The problem is that she has been insisting kuwa niwe REAL na nimaanishe kile ninachokisema.Sijamcheat hata siku moja na nimekuwa najaribu kuwa as open as possible to win her trust.Muda mwingi hususani mchana huwa tunachat sana kwa sms na imeshatokea kama mara 3 au 4 simu yangu kuishiwa charge jioni na huwa nampa alert kuwa my phone is out of charge ili niweze kucharge.Juzi tukachat sana na kufika jioni simu yangu ikawa out of charge na nilikuwa ktk gari narudi home,sikuwa na wasiwasi coz nilijua nikifika home ntaicharge na tutaendelea kuwasiliana.kufika home nikakuta hakuna umeme from asubuhi so simu yangu ikazima kabla hata sijamwambia kuwa I'm out of charge.nikaazima simu ya mdogo wangu na kujaribu kumtumia msg kuwa sitapatikana hewani kwa muda coz hakuna umeme pia na simu haina charge.From that time huyu mpenzi wangu akawa amekasirika na akahisi nina mambo mengine nafanya pembeni yani nammcheat.mimi iliniuma sana coz sina mipango ya kando kama alivyohis.Nifanyeje ili niweze ku win her trust wanajamvi wenzangu?
 
Kwa nini hamuaminiani
Issue ya kwamba hujamtumia sms ndio iwe mwanzo wa kupoteza uaminifu
nafikiri kaeni chini muongee na mjue kuwa mapenzi sio mawasiliano ya kila saa na kuchat
maana kuna muda wa kazi kuna muda wa kuisha charge kwa simu, kuna muda ambao unakuwa so busy hata kuona simu inakuwa kero
Mweleze aina ya mapenzi unayotaka kuwa nayo na aheshimu muda vile vile
naamini inawezekana kuna la zaidi ya hapo ambalo analiona ndio maana hana imani na wewe
 
Kwa nini hamuaminiani
Issue ya kwamba hujamtumia sms ndio iwe mwanzo wa kupoteza uaminifu
nafikiri kaeni chini muongee na mjue kuwa mapenzi sio mawasiliano ya kila saa na kuchat
maana kuna muda wa kazi kuna muda wa kuisha charge kwa simu, kuna muda ambao unakuwa so busy hata kuona simu inakuwa kero
Mweleze aina ya mapenzi unayotaka kuwa nayo na aheshimu muda vile vile


naamini inawezekana kuna la zaidi ya hapo ambalo analiona ndio maana hana imani na wewe




Ok thanks kwa ushauri mkuu
 
ukiona unahitaji nguvu ya ziada akukubali na kukuamini ujue huo nao ni mtihani ambao unamgusa pia yeye.............asiyeaminika mara nyingi haaminiki........
 
mapenzi ya kuanza bana very funny. itafika siku mtakaa siku nzima hata sms hakuna ukibahatika iyo siku ni itakayokuuliza leo utakula nini jion??? kaza buti safari bado ndefu.

gfsonwin nimeipenda hii avatar yako ya leo...........
 
Last edited by a moderator:
Talk to her umsikie sababu zinazomfanya ashindwe kukuamini, from there utajua where to start ili kurekebisha mambo yaende sawa..
 
Miezi mi3 bado penzi changa,wivu wa kimapenzi lazima uwe bado upo at the peak!Haya ni matukio ya kawaida tu kwa mapenzi mapya wala usitishike swahiba just keep on being who you are usiforge anything to win her trust naimani unamaanisha uhusiano unaoutaka baina yenu na utafanikiwa tu,Hilo wala lisikuumize sana kichwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom