Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
mapenzi ya kuanza bana very funny. itafika siku mtakaa siku nzima hata sms hakuna ukibahatika iyo siku ni itakayokuuliza leo utakula nini jion??? kaza buti safari bado ndefu.
I appreciate
mapenzi ya kuanza bana very funny. itafika siku mtakaa siku nzima hata sms hakuna ukibahatika iyo siku ni itakayokuuliza leo utakula nini jion??? kaza buti safari bado ndefu.
ukiona unahitaji nguvu ya ziada akukubali na kukuamini ujue huo nao ni mtihani ambao unamgusa pia yeye.............asiyeaminika mara nyingi haaminiki........
Miezi mi3 bado penzi changa,wivu wa kimapenzi lazima uwe bado upo at the peak!Haya ni matukio ya kawaida tu kwa mapenzi mapya wala usitishike swahiba just keep on being who you are usiforge anything to win her trust naimani unamaanisha uhusiano unaoutaka baina yenu na utafanikiwa tu,Hilo wala lisikuumize sana kichwa.
kwani kucheat lazima uzime simu? huyo dada kufikiria kwake ni kufupi sana
ok,katafute pesa we b w e ge,aliyekwambia kuna mapenzi siku hizi nani!huyo unamwita babygal usikute anauza sukari mungu,na hiyo kutokukuamini anazuga sababu kakuona mtindiga.:A S-baby:
ok,
Pesa zipi tena? Mbona nina pesa, any way...ngoja niongeze bidii nipate hata HARRIER