Kwa kifupi nilikuwa na mpenz ambaye nilidumu nae kwa miaka kumi 2lipendana sana ila mwenzangu alikuja kubadilika baada ya mimi kwenda chuo kusoma akawa amekata mawasiliano na mimi baada ya kuona hvyo nikawacliana na kaka yake ndipo akaniambia kuwa jamaa haileweki cku hzi amebadilika anabadilisha wanawake kama nguo niliumia ila nilijikaza mpaka likizo niliporudi nyumbani na kuongea nae akaniambia kuwa walikuwa wanamsingizia nikaachana nayo baada ya likizo nikarudi tena chuo baada ya wiki 2 nikapigiwa cmu na rafiki yake kuwa jamaa yangu anatembea na hausigel we2 sikuamini niliyoambiwa mpaka pale niporudi nyumbani na kukuta barua za mapenz iliyoandikwa na mpnz wanguKwa exprience yako unaona mapenzi yanaumiza ila Aminata9 anaona mapenzi yanamfanya 'kuenjoy' [sic]
So labda utwambie kwanza wewe umeumiaje ndio tukueleze kwa nini mapenzi wamekuwia machungu wakati kawaida yaweza kua ni matamu.