"love bite" on my neck...imeniabisha!

Una akili sana wewe, yan ungesoma kidogo ungekuwa balozi wa nyumba kumi hapo mtaani kwenu (jokes)
charminglady kila asubuhi jumatatu ningekuwa nakagua love bites kuona kama kazi za kujenga taifa zilifanyika? au kazi ilikuwa kubanjuka tu? lolest!
 
Attachments

  • 220px-Love_bite.jpg
    220px-Love_bite.jpg
    5.2 KB · Views: 588
Last edited by a moderator:
Kwani nani kakuchum dogo?
Hahahahaaa ungekuwa na Bi Nyakomba leo lazma ingekula kwako
 
Kwani nani kakuchum dogo?
Hahahahaaa ungekuwa na Bi Nyakomba leo lazma ingekula kwako

Erickb52 acha tu ndugu yangu ivi vitoto vya siku hizi mapenzi yao kama wameenda VETA...boh!...bi nyakomba hawezi hayo majambo!...yeye anasemaga kula alafu funika.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 acha tu ndugu yangu ivi vitoto vya siku hizi mapenzi yao kama wameenda VETA...boh!...bi nyakomba hawezi hayo majambo!...yeye anasemaga kula alafu funika.
BAGAH hilo lipicha lako linanikera sana aisee hebu litoe...
Ni bora kutokuwa na Avatal kuliko hilo lako
 
Last edited by a moderator:
Dah halafu unaonekana Mrafi sana....
Mi nilijua unapenda kula file fingine kumbe hata msosi wenyewe pia unaula kama kitifaya Lol
:angry::madgrin::popcorn:

kheeeee....niombe razi mbele ya hawa VIWERS wote...sa ulitaka nijenge huu mwili kwa cement?...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom