Hahahahaaaaa karibu ushtue moja faster siunajua niko kwenye second Doze :A S thumbs_down:naona umelewa...zikiisha nitafute kwenye ile landline yangu.
watakomaje...afu kijana nusura niwe zeru-zeru...mweupeje!..?
CUTE ww ni mweupe?...njoo nikufanye hivi...maana nayajua hayo makitu....