Loughborough University

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Wanajamii mnisaidie msaada wa kupata scholarship
Nimebahatika kupata offer ya adimission kutoka loughborough University ipo UK. na nimeenda TCU kuthibitisha kama chuo hiki kinatambulika kimataifa wakanijibu ni kweli kinatambulika.
sasa mziki upo kwenye kupata sponsor wa kunilipia ada
nimechaguliwa kusoma Msc management under school of economics and Business.

naomben msaada wana JF kama kuna mtu ana link zozote za sponsors anitumie nijaribu kutafuta bahati yangu
 
Back
Top Bottom