LOTTERY WINNING NOTIFICATION Is It Genuine?

Lwikunulo

Senior Member
Jun 1, 2007
110
35
Wadau wa JF naomba msaada wenu. Nimekuwa napata Lottery Winning Notification kutoka UK kuwa nimeshinda lottery na hivyo nastahili ku-claim fedha kibao.Always nimekuwa napuuzia kwa kufikiri ni spams. Hata hivyo baada ya kufikiria zaidi nikaona nipate ufahamu toka kwenu, are these Lottery Winning Notifications Genuine?. Mfano wa moja niliyoipata ni hii hapa chini:

FROM:UK NATIONAL LOTTERY
TICKET NUMBER: 74454774
SERIAL NUMBER: 144-66584
BATCH NUMBER : BT-4478474121P

WINNING NOTIFICATION

We happily announce to you the draw (#1130) of the UK NATIONAL LOTTERY, online Sweepstakes International program held on 15th of August,2008 as part of Our Bonus to all internet users. Your e-mail address attached to ticket number: 74454774, with Serial number 144-66584, drew the lucky numbers: 5-21-23-34-61-72 (Bonus ball) which subsequently won you the lottery in the 2nd category i.e Match 5 plus bonus You have therefore been approved to claim a total sum of £516,778.00 (pounds Sterling's) in cash credited to file UKL/K5998/U4.

The Equivalent of your winnings is $921,201:00 USD

Please contact your fiduciary agent below for more details with the
following details

(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

1. Full Names:
2. Address:
3. Age:
4. Sex:
5. Marital Status:
6. Occupation:
7. Phone numbers:
8. Nationality:
9. Country of Residence:


(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

YOUR SECURITY FILE REFERENCE NUMBER IS UKL/K5998/U4. (keep personal).

Yours Sincerely,
Mrs.Lucy Baines
Online Co-ordinator.
 
Last edited:
wewe unabahati kweli yaani unapata leo tena moja tu! hawa jamaa wanatuma kila siku msg 10 au zaidi, mi nshindwa kuelewa wanapata wapi address zetu.
 
usithubutu, spam them as you see them.
Saizi watakuja na style ya kukwambia kuwa email yako ni moja ya emails ambazo zipo kwenye lottery. then watakutumia email baada ya siku 5 au 7 kuwa umeshinda. Usithubutu. mijizi tu hiyo
 
Wadau wa JF naomba msaada wenu. Nimekuwa napata Lottery Winning Notification kutoka UK kuwa nimeshinda lottery na hivyo nastahili ku-claim fedha kibao.Always nimekuwa napuuzia kwa kufikiri ni spams. Hata hivyo baada ya kufikiria zaidi nikaona nipate ufahamu toka kwenu, are these Lottery Winning Notifications Genuine?. Mfano wa moja niliyoipata ni hii hapa chini:

FROM:UK NATIONAL LOTTERY
TICKET NUMBER: 74454774
SERIAL NUMBER: 144-66584
BATCH NUMBER : BT-4478474121P

WINNING NOTIFICATION

We happily announce to you the draw (#1130) of the UK NATIONAL LOTTERY, online Sweepstakes International program held on 15th of August,2008 as part of Our Bonus to all internet users. Your e-mail address attached to ticket number: 74454774, with Serial number 144-66584, drew the lucky numbers: 5-21-23-34-61-72 (Bonus ball) which subsequently won you the lottery in the 2nd category i.e Match 5 plus bonus You have therefore been approved to claim a total sum of £516,778.00 (pounds Sterling's) in cash credited to file UKL/K5998/U4.

The Equivalent of your winnings is $921,201:00 USD

Please contact your fiduciary agent below for more details with the
following details

(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

1. Full Names:
2. Address:
3. Age:
4. Sex:
5. Marital Status:
6. Occupation:
7. Phone numbers:
8. Nationality:
9. Country of Residence:


(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

YOUR SECURITY FILE REFERENCE NUMBER IS UKL/K5998/U4. (keep personal).

Yours Sincerely,
Mrs.Lucy Baines
Online Co-ordinator.

Big Scam!!! How can you win a lottery that you have not bought a ticket for?!

Hapo juu wana kuomba all your personal details? halafu iweje...you reply and "your goose is cooked
" I too recieve alot of these spam scam emails the best thing to do is delete, don't even open them.
 
Last edited:
Sikujua kuwa watu bado wanababaika na scums za aina hii bado.. ha ha ha..

Jambo la msingi na la kuzingatia ni kuwa hakuna pahala duniani ambapo unaweza kushinda bahati nasibu bila ya wewe kuichangia hiyo zawadi ya ushindi..Hiyo ndo rule of thumb.
 
...Ahsante wakuu kwa kunifumbua macho zaidi!

Invisible, 'vunavuna' ndio mchezo gani huo? sijakufahamu hapo...
 
Hapana unaweza kuwajibu na hujui ,si unasikia unalala masikini unaamka tajiri ,ila wambie wakuletee feza yako kwa Western Union maana huna akiba ya benki.Na huku umewajazia baadhi ya haya mambo yote waliyoyahitaji,maana hapa sijui kama wanataka kukuibia watakuibiaje kama walivyosema wengine.Ila bahati hiyo mala ya pili usiiwache si unajua jamaa majuu wanamapesa kibao hawajui wayafanyie nini maana biashala zote weshamaliza sasa ndio huzigawa kwa mtindo huo wa atakae bahatika na inaonyesha wewe ni mmojawapo wa hao waliobahatika.
1. Full Names:
2. Address:
3. Age:
4. Sex:
5. Marital Status:
6. Occupation:
7. Phone numbers:
8. Nationality:
9. Country of Residence:
 
Hapana unaweza kuwajibu na hujui ,si unasikia unalala masikini unaamka tajiri ,ila wambie wakuletee feza yako kwa Western Union maana huna akiba ya benki.Na huku umewajazia baadhi ya haya mambo yote waliyoyahitaji,maana hapa sijui kama wanataka kukuibia watakuibiaje kama walivyosema wengine.Ila bahati hiyo mala ya pili usiiwache si unajua jamaa majuu wanamapesa kibao hawajui wayafanyie nini maana biashala zote weshamaliza sasa ndio huzigawa kwa mtindo huo wa atakae bahatika na inaonyesha wewe ni mmojawapo wa hao waliobahatika.
1. Full Names:
2. Address:
3. Age:
4. Sex:
5. Marital Status:
6. Occupation:
7. Phone numbers:
8. Nationality:
9. Country of Residence:



Mwiba, kuna mtu umewahi kuona au hata kusikia kajipatia fedha kibao kama hizo kwa mtindo huo? Kama ndivyo itanipa matumaini kufuatilia issue hii. Otherwise nitafuata ushauri wa wakuu wengine walioutoa hapao juu.

In the light touch..., 'nimefurahishwa' na jinsi unavyoandika baadhi ya maneno ya kiswahili kwa jinsi yanavyotamkwa kwa rafudhi ya kinyumbani (very likely Unguja au Pemba). Biashala=Biashara, Mala=Mara, etc. Imenikumbusha matamshi ya JOTI wa Ze Comedy aki-act Kizenji!
 
..."In the light touch..., 'nimefurahishwa' na jinsi unavyoandika baadhi ya maneno ya kiswahili kwa jinsi yanavyotamkwa kwa rafudhi ya kinyumbani (very likely Unguja au Pemba). Biashala=Biashara, Mala=Mara, etc. Imenikumbusha matamshi ya JOTI wa Ze Comedy aki-act Kizenji!"

Rafundi = Lafudhi, au nimekosea?
 
Mwiba, kuna mtu umewahi kuona au hata kusikia kajipatia fedha kibao kama hizo kwa mtindo huo? Kama ndivyo itanipa matumaini kufuatilia issue hii. Otherwise nitafuata ushauri wa wakuu wengine walioutoa hapao juu.

In the light touch..., 'nimefurahishwa' na jinsi unavyoandika baadhi ya maneno ya kiswahili kwa jinsi yanavyotamkwa kwa rafudhi ya kinyumbani (very likely Unguja au Pemba). Biashala=Biashara, Mala=Mara, etc. Imenikumbusha matamshi ya JOTI wa Ze Comedy aki-act Kizenji!

Lwikunulo,

Hizo mails ziko za aina nyingi tu. Jamaa yangu aliamua kufuatilia deal moja kama hilo na mipango ya kuhamisha pesa (kama $100m) kwenda kwenye account yake ilienda vizuri kwa makubaliono ya kugawana 50%. Lakini katika hatua za mwisho walimwomba atume dola 5000 ili wakawahonge baadhi ya wahusika waliosaidia kukamilisha hilo deal. Aliwashauri walipe wao na kwamba watakatiana deal likihitimishwa. Huo ndio ulikuwa mwisho wa mawasiliano na washirika hao.

Nyingine ni hiyo hapo chini. Mimi napata zaidi ya 10 kwa siku. Kama ingekuwa kweli sasa hivi ningekuwa zaidi ya RA wa Bongo!!

*****
From David And Gloria Philip.
Avenu 12 Reu 47 ABIDJAN
DANANI REFUGEE CAMP, ABIDJAN
REPUBLIC OF COTE-D'IVOIRE

Dearest One,
My name is David Philip and my Sister's name Gloria we are the children of Late General Philip Taboh the former Director of military inteligence and special acting General Manager of Sieria Leone Diamond mining coperation( SLDMC ). I am contacting you to seek your good assistance to transfer and invest USD 16 million belonging to my late father which is deposited in a bank in Abidjan. This money is revenues from solid minirals and dimonds sale which were under my fathers possession before the civil war broke out. Following the break out of the war, almost all government offices,coperations and parastatals were attacked and vandalized.

The SLDMC was loothed and burnt down to ashes, and diamonds worth millions of dollars was stolen by the rebel military forces who attacked my fathers office. Many top government officials and senior army officers

were assasinated and my father was a key target because of his very sensitive military possition and appointment in the SLDMC.Regreatably, my father was captured and murdered along with half brother in cool blood during a mid-night rebel shoot-out when our official residence in freetown was armbushed by Fordey Sanko the notorious rebel leader. My mother sustainded very sever bullet injuries which resulted to her untimely and painful death in a private hospital here in Ivory Coast.

Now we are alone in a totally strange country without parents, relatives or any body to care for us at our tender ages. Before our mother died, she told us that our father deposited some money which he made from diamond sales and deposited it in a bank here in Ivory Coast and that we should pray and find a trust worthy foreign business partner who will help us to transfer and invest this money in profitable business venture overseas.

She told us to do this quickly so that we can leave Ivory Coast with our cousin brother-Arthur who is here in the camp with us and, then settle down abroad. She gave us the bank document to prove the deposit and then told us that my father used my name as the only son to deposit the money in the bank. She told us that this is the reason why we came to Ivory Coast. My mother died after wards. May her spirit rest in perfect peace.

I have gone to the bank to make inquires about this money and I spoke with the Manager of International remittance who assured me that everything is intact and promised to help me transfer this money to my foreign partners bank account as soon as I provide my partners foreign bank account for them. However, the manager is very concerned because of my age. I am 19years old and as such advised that I should look for a matured person that will represent me at the bank.

If you are willing to assist us, please let us know immediately so that you will arrange the transfer of the money to your account with the bank.Please note that we will offer you 20% of the total money as compensation for your noble assistance in accodiance with my mothers advise. We are interested in any profitable commercial venture which you consider very good in your country and you would also get a school for me and my little sister and cousin so that we can finish our college education in your country.

Please there is urgent need for the money to be transferred to your account because of the political crises they are having in Ivory Coast now. I am hoping to hear your urgent response so that I can not look for another foreign partner.

Thank you and may God bless you and your dear family.
Yours sincerely

David /Philip.
 
Wadau wa JF naomba msaada wenu. Nimekuwa napata Lottery Winning Notification kutoka UK kuwa nimeshinda lottery na hivyo nastahili ku-claim fedha kibao.Always nimekuwa napuuzia kwa kufikiri ni spams. Hata hivyo baada ya kufikiria zaidi nikaona nipate ufahamu toka kwenu, are these Lottery Winning Notifications Genuine?. Mfano wa moja niliyoipata ni hii hapa chini:

FROM:UK NATIONAL LOTTERY
TICKET NUMBER: 74454774
SERIAL NUMBER: 144-66584
BATCH NUMBER : BT-4478474121P

WINNING NOTIFICATION

We happily announce to you the draw (#1130) of the UK NATIONAL LOTTERY, online Sweepstakes International program held on 15th of August,2008 as part of Our Bonus to all internet users. Your e-mail address attached to ticket number: 74454774, with Serial number 144-66584, drew the lucky numbers: 5-21-23-34-61-72 (Bonus ball) which subsequently won you the lottery in the 2nd category i.e Match 5 plus bonus You have therefore been approved to claim a total sum of £516,778.00 (pounds Sterling's) in cash credited to file UKL/K5998/U4.

The Equivalent of your winnings is $921,201:00 USD

Please contact your fiduciary agent below for more details with the
following details

(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

1. Full Names:
2. Address:
3. Age:
4. Sex:
5. Marital Status:
6. Occupation:
7. Phone numbers:
8. Nationality:
9. Country of Residence:


(FIDUCIARY OFFICER)
Name: MR.Craig Darwing
Email: ukclaimsdept@live.co.uk

YOUR SECURITY FILE REFERENCE NUMBER IS UKL/K5998/U4. (keep personal).

Yours Sincerely,
Mrs.Lucy Baines
Online Co-ordinator.

Wizi mtupu! How can you win a game that you did not play? Wizi mtup, utaingizwa mjini.
 
Nyingine hii hapa:




To <abdulahaleemalmasih@yahoo.com>

FROM: MR. IBRAHIM TANKO
FOREIGN REMITTANCE MANAGER.
BANK OF AFRICA (B.O.A)
OUAGADOUGOU BURKINA FASO.

Dear Friend,

I know that this mail will come to you as a surprise as we never meet before. I am the FOREIGN REMITTANCE MANAGER of B.O.A Bank of Africa, I Hoped that you will not expose or betray this trust and confident that I am about to repose on you for the mutual benefit of our both families.

I need your urgent assistance in transferring the sum of ($10.M) TEN Million United States Dollars immediately to your account. The money has been dormant (in-active) for eight years in our Bank here without any body coming for it.

I want to release the money to you as the nearest person to our deceased customer MR. HUS BEN FROM USA the owner of the account who died a long with his supposed next of kin in plane crash since 2000. I don't want the money to go into our Bank treasury as an abandoned fund, so this is the reason why I contacted you, so that my Bank will release the money to you as the nearest person to the deceased customer.

Please I would like you to keep this proposal as a top secret and delete it if you are not interested.

Upon receipt of your reply, I will send you full details on how the business will be executed and also note that you will have 40% of the above mentioned amount if you agree to help me execute this business.

Thanks and waiting for your urgent response,

Best Regards
Mr. Ibrahim Tanko
Private email address:ibratanko000@hotmail.fr
 
Nyingine iliyotinga maeneo yangu hii hapa (nshakuwa bilionea mieeeee!):

From: MRS ASIA CHERRY [mailto:romlot2@hotmail.com]
Sent: Thursday, January 29, 2009 6:34 PM
Subject: WINNING NOTIFICATION, FROM THE CO-ORDINATOR (MRS. ASIA CHERRY)

FROM: MRS. ASIA CHERRY:

International Lotto Office De Padua
Piazza Emmanuelle 13A
Pad ova 45233, ITALY.

Customer Service: 680 NCA 85914
Ref: EAASL/851OYHI/04
Batch: 12/25/DC34
Zonal Draw No: GMLA2-003
Grand Draw No: 12099

Dear Winner,

WINNING NOTIFICATION

We happily announce to you the first draw of 2009 International Lottery programs held on the 2nd January 2009 in Rome Italy. Your e-mail address attached to ticket number: B9564 75604545 100 with Serial number 46560 drew the winning: 01/10/11/18/19/46, which subsequently won you the lottery in the 3rd category.

You have therefore been approved to claim a total sum of US$820,000.00 (Eight Hundred and Twenty Thousand United States Dollars) in cash credited to file KPC/9080118308/02.This is from a total cash prize of US $1100,000,000 (One Million One Hundred Thousand Dollars) shared amongst the first One Hundred and thirty (130) lucky winners in this category world-wide. Please note that your lucky winning number falls within our Afro booklet representative office in Africa as indicated in your play coupon. In view of this, your US$820,000.00 (Eight Hundred and Twenty Thousand United States Dollars) would be released to you by the Reserve Bank South Africa. Our African agent will immediately commence the process to facilitate the release of your funds as soon as you contact him.

All participants were selected randomly from World Wide Web site through computer draws system and extracted from over 10,000,00 companies and personal e-mails. This promotion takes place annually. For security reasons, you are advised to keep your winning information confidential till your claims is processed and your money remitted to you in whatever manner you deem fit to claim your prize. This is part of our precautionary measures to avoid double claims and unwarranted abuse of this program by some unscrupulous elements. Please be warned. If you are not up to 18 years of age, you are automatically disqualified.

To file for your claim, please contact our online corresponding agent in Africa immediately you read this message before 20th of February 2009 for quick and urgent release of your winning price:

PROFESSOR STEVE OWEN

P.M.B. 1090 JOHANESSBURG, SOUTH AFRICA

TEL: +27-745-194-482

E-mail: profsteveoween@gmail.com OR profsteveowen1@hotmail.com

Please fill the form below and send it to the claims agent in South Africa immediately.

NAME: ......................................
COMPANY NAME: ..................
FULL ADDRESS: ..................
SEX: ..........................................
AGE: .........................................
OCCUPATION: .........................
TEL: ..........................................
FAX: ..........................................
COUNTRY: ...............................
E-MAIL: .....................................

Congratulations once more from all members and staff of the organizers of this program to those that has successfully won this competition.

NB: Note that this is a computer generated mail and WINNERS are expected to RESPOND and CALL only via the CLAIM AGENT'S Email ID and Phone number above.

Thanks for being part of our third category promotional Lottery Program.

Your's Sincerely,
MRS. ASIA CHERRY.
Italia Zonal Co-ordinator.
MR. LARRY SMITH,
U.k zonal Secretary
 
Mwingine huyu kaja na gia nyingine

Hello my love
How are you today
I am more than happy in your reply to my mail.How was your day?,Mine is a little bit cold over here in Dakar senegal
My name is rose from Liberia in West Africa 23yrs 5.3ft tall, fair in complexion,(never married before )and presently i am residing in the refugee camp here in dakar as a result of the civil war that was fought in my country.My late father Dr Wilson Khalifa was the personal advicer to the former head of state before the rebels attacked our house one early morning and killed my mother and my father in cold ..it was only me that is alive now and I managed to make my way to a near by country senegal where i am leaving now.

I would like to know more about you.Your likes and dislikes,your hobbies and what you are doing presently.I will tell you more about myself in my next mail.Attached here is my picture and I will send another picture in my next mail.I will also like to see your picture.

Hoping to hear from you soonest
yours in love,

rose

rosekhalifa2009@yahoo.com


196872033.img.jpg



196882304.img.jpg


Mzee Yo Yo changamkia hili toto.....
 
Leo mi nimeipata hii, lazima niwe bilionea mwaka huu.

From: FEDEX COURIER SERVICE <fedexdispatch_courier@live.com>
Date: Tue, Feb 3, 2009 at 7:53 AM
Subject: CONTACT FEDEX
To:

Greetings!!!
I am Mr Peterson Adams.I have been waiting for you to contact me for your Confirmable Bank Draft of ($800.000.00) United States Dollars, but I did not hear from you. Then I went and deposit the Draft with FedEx Delivery,West Africa,I travelled out of the country for a 3Months Course and I will not come back till end of March.

What you have to do now is to contact the FedEx Delivery as soon as possible to know when they will deliver your package to you because of the expiring date.For your information, I have paid for the delivering Charge, Insurance premium and Clearance Certificate Fee of the Cheque showing that it is not a Drug Money or meant to sponsor Terrorist attack in your Country. The only money you will send to the FedEx Delivery to deliver your Draft direct to your postal Address in your country is ($195) Dollars only being Security Keeping Fee of the Delivery Company so far. Again,don't be deceived by anybody to pay any other money except ($195) Dollars .

I would have paid that but they said no because they don't know when you will contact them and in case of demurrage.

You have to contact the FedEx Delivery now for the delivery of your Draft with this information below;

Name:
Address:
Age:
Marital Status:
Nationality:
Phone Number:

Contact Person: Mr.Mark Harrison.
Email:fedexdispatch_courier@live.com
Telephone:+2347036371149
Do not forget to contact me when you have receive your package. Have a great day!!!
Regards. Mrs. Williams
 
Hajakata tamaaa
Hello dearest ,

I am more than happy in your urgent reply to my mail.

How is your day? hope all is fine.

Mine is a little bit hot over here in Dakar Senegal.

In this camp we are only allowed to go out only on Mondays and Fridays ofthe weeks.Its just like one staying in the prison and i hope by Gods grace i will come out here soon.We don't have any relatives now whom we can go to all our relatives ran away in the middle of the war the only person we have now is Rev.Emmanuel George who is the pastor of the (Christ for all Churches) here in the camp he has been very nice to me since i came here but i am not living with him rather i am leaving in the women's hostel because the camp have two hostels one for men the other for women.

The Pastors Tel number is (+221-763316344) if you call and tell him that you want to speak with me he will send for me in the hostel. As a refugee here i don't have any right or privilege to any thing be it money or whatever because it is against the law of this country.I want to go back to my studies because i only attended my first year before the tragic incident that lead to my being in this situation now took place.

Please listen to this,i have my late father's Deposit Certificate and certificate here with me which i will send to you latter,because when he was alive he deposited some amount of money in one of the leeding bank in Europe which he used my name as the next of kin,the amount in question is $5.7M(five Million seven Hundred Thousand Dollars).

So i will like you to help me transfer this money to your account and from it you can send some money for me to get my travel ling documents and air ticket to come over to meet with you.I kept this secret to people in the camp here the only person that knows about it is the Rev rend because he is like a father to me.

So in the light of above i will like you to keep it to yourself and don't tell it to anyone for i am afraid of loosing my life and the money if people gets to know about it.

Remember i am giving you all this information due to the trust i deposed on you.I like honest and understanding people,truthful and a of vision,truth and hardworking.My favourite language is English and i speak English very fluently.Meanwhile i will like you to call me like i said i have alot to tell you.

Have a nice day and think about me.

Awaiting to hear from you soonest

Yours in love,

sharon Rose

rosekhalifa2009@yahoo.com
 
Back
Top Bottom