Loriondo, Dawa ya kutibu Kansa, Kisukari na Ukim Tshs 500 au nusu kilo ya sukari

Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
140
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa dunia hii.

Bwana huyo, inasemekana kuwa hatozi gharama zaidi ya Tshs 500 au nusu kilo ya sukari kwa ajili ya matibabu hayo. haijaeleweka ni watu wangapi hadi sasa wametibiwa au kupona, lakini kwa taarifa nilizozipata watu wengi wanaenda huko kutibiwa na wengi wanaendelea vizuri lakini bado hawajaenda kupimwa, kwani inahitajika kupima baada ya siku 90 baada ya kunywa hiyo dawa. wanahabari, mlioko Loriondo tujuzeni
 
Nilifikiri unajua....

Watu wengi ninaowafahamu wamekwenda kupata tiba hiyo, kwa sasa hali zao ni nzuri,lakini bado hawajafikisha siku 90 ili wapimwe, nilitaka kujua kama kuna wengine mmesikia hicho kitu huko Loriondo?
 
..sifahamu ila kwa kawaida nina wasiwasi sana na mtu yeyote anayedai ana dawa aina MOJA tu na ina uwzo wa kutibu magonjwa lukuki

..wakati kansa ni UGONJWA, kisukari ni CONDITION (Hali) ya kongosho kutokutengeneza insulini; sasa utatibuje haya mawili kutumia mchanyato mmoja?:A S 112:

unbecoming, I stand to be corrected though
 
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa dunia hii. Bwana huyo, inasemekana kuwa hatozi gharama zaidi ya Tshs 500 au nusu kilo ya sukari kwa ajili ya matibabu hayo. haijaeleweka ni watu wangapi hadi sasa wametibiwa au kupona, lakini kwa taarifa nilizozipata watu wengi wanaenda huko kutibiwa na wengi wanaendelea vizuri lakini bado hawajaenda kupimwa, kwani inahitajika kupima baada ya siku 90 baada ya kunywa hiyo dawa. wanahabari, mlioko Loriondo tujuzeni
Umesikia tu huna uhakika unachokisema?
Watu wengi ninaowafahamu wamekwenda kupata tiba hiyo, kwa sasa hali zao ni nzuri,lakini bado hawajafikisha siku 90 ili wapimwe, nilitaka kujua kama kuna wengine mmesikia hicho kitu huko Loriondo?
Halafu unasema Watu kuwa unawafahamu watu wamekwenda kupata hiyo tiba? Mbona unatuchanganya?
 
Umesikia tu huna uhakika unachokisema?

Halafu unasema Watu kuwa unawafahamu watu wamekwenda kupata hiyo tiba? Mbona unatuchanganya?

mtu aliyenipatia hiyo habari aliwataja watu ninaowafahamu kwa majina, mfano "MziziMkavu ameshakunywa hiyo dawa anasubiri siku 90 apimwe" sorry kama nimekuchanganya
 
punguza haraka yakufungua ukurasa mpya subiri ck 90 mana tangu huyo mtoa tiba aanze ajafikisha ck 90 acha pupa
 
:clap2::A S 20:
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa dunia hii. Bwana huyo, inasemekana kuwa hatozi gharama zaidi ya Tshs 500 au nusu kilo ya sukari kwa ajili ya matibabu hayo. haijaeleweka ni watu wangapi hadi sasa wametibiwa au kupona, lakini kwa taarifa nilizozipata watu wengi wanaenda huko kutibiwa na wengi wanaendelea vizuri lakini bado hawajaenda kupimwa, kwani inahitajika kupima baada ya siku 90 baada ya kunywa hiyo dawa. wanahabari, mlioko Loriondo tujuzeni
 
Wataala wa afya mpo kama hili kweli fuatilieni tuokoe maisha ya ndugu zetu,acheni kukaa ofisini tembeleeni hawa watu
 
Hata mimi nilisikia ilionyeshwa kwenye tv ya TBC kipindi cha Tazama, na kuna daktari hospitali ya loliondo akathibitishwa kwa kumtaja jina mgojwa mmoja ambaye alikuwa anaenda kuchukua ARV ameacha anatumia dawa za huyo mzee hata kabla hajamaliza dozi akapima akakutwa negative.

Na huyo mzee anadai hiyo dawa alioteshwa tu akaenda kutafuta huo mti hadi akaupata akatengeneza dawa.
 
Hata mimi nilisikia ilionyeshwa kwenye tv ya TBC kipindi cha Tazama, na kuna daktari hospitali ya loliondo akathibitishwa kwa kumtaja jina mgojwa mmoja ambaye alikuwa anaenda kuchukua ARV ameacha anatumia dawa za huyo mzee hata kabla hajamaliza dozi akapima akakutwa negative, Na huyo mzee anadai hiyo dawa alioteshwa tu akaenda kutafuta huo mti hadi akaupata akatengeneza dawa.
something like that, wanahabari mko wapi, Passco fuatilia suala hilo
 
kuna jamaa yupo moshi amenitext alikuwa na sukari na pumu anasema amepona sukari na amepima inaonyesha ipo normal level, pia pumu anajifeel kifua chepesi.ni mwendo wa 14 hrs kwenda na kurudi from mto wa mbu
anasema mgonjwa anapewa kikombe 1 then maombezi
 
kwa anayetaka maelezo zaidi ya huyu mzee anaweza kuniuliza nimpe maelezo zaidi kwani mimi mwenyewe nimefika huko.

Sijathibitisha kuhusu mtu kupona ukimwi ila kisukari na pumu nimethibitisha watu wakipona.
 
kwa anayetaka maelezo zaidi ya huyu mzee anaweza kuniuliza nimpe maelezo zaidi kwani mimi mwenyewe nimefika huko. Sijathibitisha kuhusu mtu kupona ukimwi ila kisukari na pumu nimethibitisha watu wakipona.

mwaga hadharani kwa faida ya wanajanvi...JF ni zaidi ya darasa. Ombi tu.
 
kwa anayetaka maelezo zaidi ya huyu mzee anaweza kuniuliza nimpe maelezo zaidi kwani mimi mwenyewe nimefika huko. Sijathibitisha kuhusu mtu kupona ukimwi ila kisukari na pumu nimethibitisha watu wakipona.

Tafadhari wape wanajamvi maelezo kunusuru afya za wapendwa wao, na kupata ufahamu
 
kwa anayetaka maelezo zaidi ya huyu mzee anaweza kuniuliza nimpe maelezo zaidi kwani mimi mwenyewe nimefika huko. Sijathibitisha kuhusu mtu kupona ukimwi ila kisukari na pumu nimethibitisha watu wakipona.
Naomba maelezo zaidi tafadhali.
 
mimi kuna mmoja namfahamu alikuwa na kisukari lakini sasa anasema amepona kabisa na anatumia vitu ambavyo alikuwa hawezi kutumia hapo kabla....mimi mwenyewe nipo njiani kuelekea huko nikirudi nitawajuza yaliyojiri....halafu ni Loliondo sio Loriondo tafadhali
 
Back
Top Bottom