Looking for plants scientist (volunteers)

Thaconfession

JF-Expert Member
Jun 16, 2021
296
575
Kama wewe ni mhitimu wa stashahada au shahada ya maswala ya mimea (plants) na upo tayari kufanya kazi kwa kujitolea tafadhali check with me.
0629109840

Females are also encouraged to apply!
 
Unaweza Ongeza taarifa kulipa uzito ingawa si lazima kama waona upo sawa. Ni taasisi ama private individual anayetafuta volunteers, kwa mda gani, wapi.
Nimetoa mawasiliano hapo, sio individual anayetafuta volunteers!
Watu huwa wanapuuza mpaka waone advertisement inayoonyesha mishahara na kiingereza kingi!

Mimi nimeandika shortly kabisa, kama mtu ana diploma au degree ya mimea anichecheki, simple kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom