Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 698
Habarini za Jumapili ndugu wana jamvi,natumai mu wazima wa afya tele!
Bila kupoteza wakati,napenda kuwashirikisha wazo langu(kipaji ambacho nimekikalia kwa muda sasa bila kukutumia kwa minajili ya kuniingizia walau kipato.Hii hasa ikichochewa na ukweli kwamba kwa sasa soko la ajira ni gumu kupindukia,hivyo nimeonelea ni vyema wakati nikisubiria kupata ajira ya profession yangu kutumia kipaji hiki.
Hivyo nawasilisha uzi huu kwenu wana jamvi kwa ushauri,msaada(wa namana ya kutengeneza kipato kupitia kipaji hiki) na hata muongozo hasa kutoka kwa wale ndugu zangu wanoa juhusisha na maswala ya T-shirt printing and drawing na wengine watakao guswa.
Hapa chini nimeambatanisha baadhi tu ya sketches za logo ambazo nimezichora mwenyewe kwenye karatasi za A4, kwa muda mrefu ni kiwa na uono wakuwa logo sketcher wa T-shirt printing firm na mchoraji.Nimeepuka kuweka sketches zangu zote kwa kuhofia swala la wazo kupokwa,hivyo kama utaona kitu kupitia baadhi ya hizi hapa chini na una msaada(juu ya naman ya kutengeneza kipato kuptia hii talent),ushauri ama wazo la kuongezea niko tayari pia kukushirikisha logo sketches nyingine.Japo kuquality ya muonekeno sio nzuri kutokana na simu yangu natumai wazo litaeleweka!.Barikiwa nyote!!