Lodges.

kande kavu

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
234
86
Waungwana eeh!

Hivi ni kwa nini hizi nyumba za Wageni (Guest houses) siku hizi hazitumii sana hilo jina na badala yake neno Lodge ndo linachukua kasi? Je ni mahitaji ya wateja hasa wenyeji kutokuwa comfortable kwenye nyumba za wageni?
 
lodging kuwa unauwezo wakuoga katika chumba chako halafu inakuwa ni hadhi fulani kwa hizo nyumba za kulala wenyeji..
 
Lodge inakuwa ni eneo kubwa, na vikorombwezo vingi kidogo, swimming pool, kama hizo g.gouse za uswazi wanazipachika jina la lodge kwa ajili ya kuwavuta wenyeji, wanakuwa wanashusha hadhi lodge nyingne za ukweli...
 
unajua mahali pakiandikwa g.house mtu akiingia tu siku hizi moja kwa moja unaoenekana wakwenda ku-do tu, so wakizipachika jina la lodge, muendaji anakuwa anajiona anaingia sehemu yenye hadhi, na labda sababu haina jina la g.house anaweza asionekane anakwenda ku-do ...
 
..kama kuna ka ukweli..maana mitaa yangu hapa kuna nyumba ya wageni..imebadilishwa jina na kuwa lodge..
 
unajua mahali pakiandikwa g.house mtu akiingia tu siku hizi moja kwa moja unaoenekana wakwenda ku-do tu, so wakizipachika jina la lodge, muendaji anakuwa anajiona anaingia sehemu yenye hadhi, na labda sababu haina jina la g.house anaweza asionekane anakwenda ku-do ...
stineriga na pia inawafanya wajifeel comfortable
 
Waungwana eeh!

Hivi ni kwa nini hizi nyumba za Wageni (Guest houses) siku hizi hazitumii sana hilo jina na badala yake neno Lodge ndo linachukua kasi? Je ni mahitaji ya wateja hasa wenyeji kutokuwa comfortable kwenye nyumba za wageni?

We huwa unapenda kwenda wapi? Guest au lodge?
 
Back
Top Bottom