Lodge bei nafuu Korogwe

yuya

Member
Nov 7, 2011
46
7
Naomba msaada. Nitakaa korogwe kikazi kwa muda wa mwezi 1 hivi. Budget yangu ya guest house ni sh 15000-20000. Kwa mnaoifahamu Korogwe niwaombe msaada wenu. Ipi ni lodge nzuri kwa budget hii niliyopewa. Kwa sasa niko Newala. Mungu awabariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom