Local detectives in US hunt for Ballali

Ndugu wananchi, kama mnavyojua makachero wetu walikwenda US kumtafuta Ballali ili arudi nyumbani kuja kujibu tuhuma za ufisadi dhidi yake. Bahati mbaya makachero wetu hawakufanikiwa kumnasa Ballali. Hata walipoomba msaada toka US nao pia hawakufanikiwa. US walituhakikishia kwamba Ballali kule ambako yule jamaa ambaye na wao wanamtafuta amejificha huko. Juhudi zetu za kuhakikisha tunamnasa Ballali haraka iwezekanavyo zitaendelea.....:) usanii kama kazi!
 
(....sssshp, baby one mom', am hearin' a knock at the door.... )

....ko ko ko ko ko... Harrrooooo, harooo!... (mmmh, Ndaki rabda hawatusikii ndani, kuna rikengere hapo pembeni?!)

....haroo haroo, we're Tanzania Security
....anyone rivingi here?
....harooooo, we have got a search warranty, anyone rivingi here?!!

(...yes, how can i help you?!)

.....we are rookingi for doctor Barari, does he rrivu here?!

(...'amma fraid not, what the matter anyway?!)

.....he's a fisadist, we've been sent by the countri to capture him
.....he stole a rrot of money from our countri. Do you know where he rrivus?!

(....'amma fraid i can't be of any help, sorry..)

.... it's okay madam, we wirri knock at the next door, thank you veri veri much!

(....baap, door slams behind...)

.....mnaona sasa, niriwaambia siyo hapa, mkanibishia, Marwa hebu rifungue risimu tena tumpigie mwenyeji wetu Barozi..

.....haroo haroo,.. Mh. Barozi kumbe siyo hapo, tumekosea tena rinamba rya nyumba, mtaa gani urisema mheshimiwa?!.......

-------------->>>>>>> and it goes on like that!!

hiri ribarozi retu rinaishi uku uraya kumbe hata harijui majina ya mitaa. Rimetupa jina ra mtaa ambao dk barari haishi, rabda na renyewe ni rifisadi. Aisee kare ka kijana pare kwenye kona mbona kanatuangaria sana? rabda ni katanzania hebu kaite hapa kanaweza kakatusaidia iri kutupa jina ra kweri ra mtaa anaoishi dk Barrari....LOL!

Thanks a lot Steve!
 
hiri ribarozi retu rinaishi uku uraya kumbe hata harijui majina ya mitaa. Rimetupa jina ra mtaa ambao dk barari haishi, rabda na renyewe ni rifisadi. Aisee kare ka kijana pare kwenye kona mbona kanatuangaria sana? rabda ni katanzaniam hebu kaite hapa kanaweza kakatusaidia iri kutupa jina ra kweri ra mtaa anaoishi dk Barrari....LOL!

Thanks a lot Steve!

ofisa mwita.... hebu turudi kure kwenye rire rinyumba renye geti ra rangi ya buruu kuuriza. Poti poti poti, razima tununue serri foni za nokia kabura ya kurudi nyumbani.
 
(....sssshp, baby one mom', am hearin' a knock at the door.... )

....ko ko ko ko ko... Harrrooooo, harooo!... (mmmh, Ndaki rabda hawatusikii ndani, kuna rikengere hapo pembeni?!)

....haroo haroo, we're Tanzania Security
....anyone rivingi here?
....harooooo, we have got a search warranty, anyone rivingi here?!!

(...yes, how can i help you?!)

.....we are rookingi for doctor Barari, does he rrivu here?!

(...'amma fraid not, what the matter anyway?!)

.....he's a fisadist, we've been sent by the countri to capture him
.....he stole a rrot of money from our countri. Do you know where he rrivus?!

(....'amma fraid i can't be of any help, sorry..)

.... it's okay madam, we wirri knock at the next door, thank you veri veri much!

(....baap, door slams behind...)

.....mnaona sasa, niriwaambia siyo hapa, mkanibishia, Marwa hebu rifungue risimu tena tumpigie mwenyeji wetu Barozi..

.....haroo haroo,.. Mh. Barozi kumbe siyo hapo, tumekosea tena rinamba rya nyumba, mtaa gani urisema mheshimiwa?!.......

-------------->>>>>>> and it goes on like that!!

Thanks Stevie you made my day baada ya kuzidi kuchanganyikiwa na huu ufisadi......this post deserves A POST OF THE MONTH AWARD
 
Hata kama Billa akiendelea kujificha US nadhani maisha yake bado yatakuwa ni magumu mno kisaikolojia labda kuzidi mateso ya kimwili ya Keko. Foreigner ambae hawatafutwi maisha ya Marekani yanaweza kuwa ni ya kipweke na ku miss nyumbani mno. Sasa imagine mtu anae jificha ndani. Manake hawezi kujichanganya changanya mitaani, au kwenye vi gathering vya Wabongo, na Wabongo wametapakaa all over the place. Kutoka toka nje labda akaishi kwenye boondocks Montana au Wyoming huko na avae miwani mweusi maisha yake yote. Na kuna siku atachoka kuishi milimani na ma serial killer fugutives huko. Atatamani arudi nyumbani.

Na Mzee kama yule hawezi kuishi ki-Mexico Mexico Marekani (kuepuka any contact na ofisi ofisi zozote za Serikali, na bila kuacha jina kwenye fomu yoyote.)

Na nadhani Billal bado yuko US kwa sababu angekuwa ametoka, Homeland Security wangewaambia TZ, assuming TZ waliuliza.
 
Hivi wamekuja kumkamata...Ama wamekuja kumtafuta?

Serikali ya JK ime adapt system ya Tony Blair...SPIN...SSSSSSSPIN.

Mkullo....nimemtafuta Balaa(li) sikumpata
Serikali....hatumhitaji sasa balali
Now......makachero wa bongo wako USA wanamtafuta Balali

It does not make sense at all
 
Uspin una kikomo chake. Sasa Watanzania tumewashtukia tunawaona ni wapumbavu tu maana wanatufanya Watanzania wajinga sana hivyo tutasikiliza kila uongo wanaotwambia. Sasa inakuwaje katika kipindi cha wiki mbili kunakuwa na kauli tatu tofauti toka kwa maofisa wa juu wa SIRIKALI katika issue moja!!!
 
Neither one.

Kumhoji!

Na sasa do we know if they actually did that?
Kwasababu ni muhimu kuwa na data ya nini kinaendelea!
Je ni right for us to contact local authorities in order to find out if there's anything as such as Balali for wanted?
Je tuna haki ya kupata update kutoka ubalozi?
 
Tafuteni kina Bob Woodward huko nafikiria kuna ma reporter wengi tu wana sympathies na third world ambao wako tayari kuandika hizi issue kama za Balali na serikali ya bongo na kama mjuavyo kichaka ameidhinisha pesa nyingi kwa ajili ya TZ.......sasa hizi upotevu wa EPA ita raise eyebrows za wengi especially anti Bush.
 
(....sssshp, baby one mom', am hearin' a knock at the door.... )

....ko ko ko ko ko... Harrrooooo, harooo!... (mmmh, Ndaki rabda hawatusikii ndani, kuna rikengere hapo pembeni?!)

....haroo haroo, we're Tanzania Security
....anyone rivingi here?
....harooooo, we have got a search warranty, anyone rivingi here?!!

(...yes, how can i help you?!)

.....we are rookingi for doctor Barari, does he rrivu here?!

(...'amma fraid not, what the matter anyway?!)

.....he's a fisadist, we've been sent by the countri to capture him
.....he stole a rrot of money from our countri. Do you know where he rrivus?!

(....'amma fraid i can't be of any help, sorry..)

.... it's okay madam, we wirri knock at the next door, thank you veri veri much!

(....baap, door slams behind...)

.....mnaona sasa, niriwaambia siyo hapa, mkanibishia, Marwa hebu rifungue risimu tena tumpigie mwenyeji wetu Barozi..

.....haroo haroo,.. Mh. Barozi kumbe siyo hapo, tumekosea tena rinamba rya nyumba, mtaa gani urisema mheshimiwa?!.......

-------------->>>>>>> and it goes on like that!!
hahahaaaaaaaa.... hujatulia kabisa, umeniumiza tuu mbavu
 
hii habari imenichekesha mpaka nimetoka machozi. Ok goodluck local detectives. CCM knows how to play politics bwana. Balali hajaenda Afrighanstan wala hayupo Tolabora, they know excatly wapi Balali yupo.
 
US ready to help Govt find Ballali

By The Citizen Team

The United States yesterday declared that it was ready to help the Government establish the whereabouts of former Bank of Tanzania governor Daudi Ballali.

US embassy spokesperson Jeffery Salaiz told The Citizen: �We are ready to assist the Government to establish where Dr Ballali is�we can do that anytime.

�The problem is that so far nobody from the Government has lodged special request with the US embassy asking us to help in tracing the former governor.

�If they haven�t made an official request it will be very difficult for us to do anything about Dr Ballali,� Mr Salaiz said.

The US move comes amid reports that Tanzanian detectives were dispatched to the US last Thursday to get important information Dr Ballali is believed to be harbouring about various scandals that have rocked BoT in recent years.

There have been contradicting reports on the whereabouts of Dr Ballali, who left the country for the US last September ostensibly to undergo a medical check-up.

The Government has so far remained mum on the whereabouts of Dr Ballali, who was in charge at BoT when Sh133 billion was siphoned out of the bank through the External Payments Arrears (EPA) account in the 2005/6 financial year.

Asked whether the US embassy knew exactly where Dr Ballali was, Mr Salaiz said: �We don�t know�the US processes visas for about 2 million people every day, and that is why it is difficult for us to tell exactly where he is. But we can get him if he is still there.�

This is the second time for the US to speak on the whereabouts of Dr Ballali, who is believed to have information on who exactly was behind the EPA scandal.

In February, the US ambassador to Tanzania, Mr Mark Green, denied rumours that Dr Ballali was a US citizen.

Mr Green said the US government had not made any decision on deporting Dr Ballali to Tanzania because the Tanzanian government had not requested for his extradition.

Challenged to explain how the American government could revoke someone�s visa without kicking them out, Mr Green said they could not �go knocking on every door looking for illegal immigrants�.

�A citizen of the United States of America is not required to apply for a permit to enter the country. Ballali is not an American citizen,� he said.

Dr Ballali, who was BoT governor for about a decade before he was fired in January this year, was yesterday said to be resting at his home in the US state of Maryland.

According to one of his lawyers, Dr Ballali had never left US since he went there on medical grounds last September.

But the source could not give details on what is he suffering from apart from insisting that �he is still alive although his health has deteriorated since the end of last year�.

According to the lawyer, who requested for anonymity, Dr Ballali�s main concern was that his image and dignity had been damaged in the last few months, adding that he was willing to come back home to clear his name.

�I met this man just three weeks ago and he is recovering well�but he is highly disappointed by the way the EPA scandal was handled by the Government,� he added.

The Citizen also established that security agents dispatched to US last Thursday were not under orders to arrest Dr Ballali, but to extract information from him.

�This is just an ordinary procedure of finding useful information�he was the governor of the central bank and he still has more details that can help the Government,� a source, speaking on condition of strict anonymity, told The Citizen yesterday.

Senior government officials are said to be worries that Dr Ballali is secretly planning to leak information on how various shady deals, including the EPA scam, were planned and executed.

He is believed to have compiled a detailed report on how everything was done during his tenure as the head of BoT.

Apart from the EPA scandal, the name of Dr Ballali has also been linked to the $400 million �Twin Towers� project, $153 million Meremeta/Tangold project and Mwananchi Gold Company Ltd.
 
Ndugu zangu naombeni ushauri kwasababu mimi nina coalition ya watu ambao nimesha wa organize kuanguka masani ili haki itendeke!
Sasa niliamua kusitisha uamuzi huo baada ya taarifa kuwa serikali inafanya something!
Je tuwape muda zaidi ama tumove forward na petition?
 
Endelea na petition mkuu kwani muda umefika wa kufanya hivyo...

Sio lazima upate kila mtu lakini unaweza kuanza na hao ulionao kwa sasa na wengine watakuja tu accordingly.
 
Wanatafuta kaburi lake i presume.
ah fisadi hawezi kumhaini fisadi mwenzake
 
Back
Top Bottom