Local detectives in US hunt for Ballali

Na mimi bado nina rungu langu hivyo wasiwasi wa kupuliza chicha sina kabisaa!
 
Waweke wazi kuwa wanakuja kukamata ama kuhoji?
Hii mutu ni mutuumiwa jamani!
Inatakiwa Tanzania ndani ya pingu!
Hatutaki kusikia eti watu wako huku!
Tunataka kusikia hii mutu imekamatwa!
Huu ndugu zangu mimi nausoma kama usanii!
How comes?
 
Nisaidieni ndugu .Hawa ndugu wanamtafutia Balali wapi ? Wanaingia kila nyumba ama inakuwaje ?
 
Wanasema wana COMB hiyo miji iliyotajwa ya Washington,Boston na sijui wapi!
Kama walikuwa wanajua alipo kama madai yao yanavyosema then combing for what?

FFU wana comb vibaka ama ni nini hapa?

Hawa washauri wa Muungwana jamani!
Duh!
Kazi ipo!
 
Na kwa uelewa wangu ni lazima FBI watakuwa wanahusishwa kutokana na issue za sovereignity...So hao FBI inabidi tuwasiliane nao!
 
Namsubiri GT na maswali;

i) Wanalipwa allowance kiasi gani kwa siku hao mashushushu?
ii) Wanalipwa in $ au madafu?
iii) Who is footing the bill? FBI, CIA au Mugabe?
iv) Kwanini ikulu hawajaweka website mpaka leo, lakini wanaweza kutuma mashushu nje.
v)..........
vii).....

teh teh. GT, no offense mate.

Nzoka,

Baadhi ya maswali hayo, hasa kuhusu gharama na nani atazibeba, ni ya msingi kabisa hasa ukizingatia kuwa Wamarekani walisha offer kutuletea huyu bwana, sasa kuna ulazima gani wa sisi kutumia resources zetu kwa kufuja kama hivi?

Ndiyo maana mimi naamini kuna zengwe linataka kutembea hapa, issue siyo merely kumtafuta Balali na kumrudisha kwani kama ingekuwa hivyo tungekubali offer ya Marekani.
 
Inawezekana kutokana na ile Tanzania Threshold Program waliyosaini na marekani imewapa pesa na wao wakaona wazitumie!
Under the program wamarekani wanakupa hata pesa za bure kufanikisha ukamatwaji huu hadi gharama za prosecution etc..Kwahiyo hapo kwenye gharama kuna uwezekano wa kuwapa break!
Ila kuna kuremba kwingi mno na hivyo inapelekea sisi kususpect usanii kama kawa!
 
Nisaidieni ndugu .Hawa ndugu wanamtafutia Balali wapi ? Wanaingia kila nyumba ama inakuwaje ?

kwi kwi kwi...

Lunyungu yaani nimecheka hapa hadi mbavu zinauma..

Wanaingia nyumba kwa nyumba na nguo zao za mgambo wakiwa na virungu vyao mkononi...... huku wakiongea kwa lafudhi nzito za kikurya kuuliza kama kuna mtu amemwona Balali kokote kulee.......
 
Nzoka,

Baadhi ya maswali hayo, hasa kuhusu gharama na nani atazibeba, ni ya msingi kabisa hasa ukizingatia kuwa Wamarekani walisha offer kutuletea huyu bwana, sasa kuna ulazima gani wa sisi kutumia resources zetu kwa kufuja kama hivi?

Ndiyo maana mimi naamini kuna zengwe linataka kutembea hapa, issue siyo merely kumtafuta Balali na kumrudisha kwani kama ingekuwa hivyo tungekubali offer ya Marekani.
Yes, maswali ya GT huwa nayakubali, ila nimeona hayupo hewani nikampunguzia kazi.
 
Inawezekana kutokana na ile Tanzania Threshold Program waliyosaini na marekani imewapa pesa na wao wakaona wazitumie!
Under the program wamarekani wanakupa hata pesa za bure kufanikisha ukamatwaji huu hadi gharama za prosecution etc..Kwahiyo hapo kwenye gharama kuna uwezekano wa kuwapa break!
Ila kuna kuremba kwingi mno na hivyo inapelekea sisi kususpect usanii kama kawa!

jmushi,

Kwanza kabisa ulichosema ingawa kinawezekana ni highly speculative, sioni haja ya Wamarekani ku offer msaada wakati walitupa hela ya kufanya hivyo so I highly doubt that.Na kama kuna hela tulipewa tunazitumia hivi hata baada ya kupewa offer huu ndiyo ufujaji wa mali ya umma wenyewe and it looks like wazee fulani walitaka kwenda shopping DC tu halafu kesho watatuletea hadithi za Alfu Lela U Lela.

Pia, sikupenda kutumia neno gharama nikatumia neno "resources" makusudi kwa kujua kwamba kuna a slight chance ya kitu kama unachosema kuwapo.Lakini when the economic mind is analysing cost it should not only analyze apparent or monetary cost, there is such a thing as hidden cost elements in the form of muda unaotumika na hawa wapelelezi wetu kumtafuta mtu ambaye tungeweza kumpata bila kutumia resources zetu, hence not encurring the opportunity cost of sending our detectives to the US and using them in other much needy cases.
 
Huu utakuwa ujumbe wa nne kuusikia umekwenda US kumtafuta Balali... miezi michache iliyopita walikuja wale wanaoitwa hitmen wakarudi/ama bado wapo wamejichimbia..wananchi tunafahamu hilo!
Inaonyesha wazi serikali yetu haitafuti njia za haki kupata suluhu ya swala hili la EPA kwa sababu nashindwa kabisa kuelewa kwa nini serikali yetu inamptafuta balali wakati tayari wamekwisha anza zoezi la kurudisha fedha hizo! Kwa ushahidi gani waliokuwa nao kufikia maamuzi ya kukusanya hizo fedha wakati Balali hajapatikana..
je, ina maana nusu ya fedha hizo (ambazo hazijakusanywa) haijulikani zilikwenda wapi?..
 
Jamani hata marekani kuna mapango kama ya Tora Bora? Mbona JK ni rafiki mkubwa wa Kichaka kwa nini asimwambie tu wamrudishe au ndio goli la maradona hilo? Badala ya kupoteza pesa ya walipa kodi kutuma watu wasio na akili timamu bora wamfilisi tu huko nyumbani na kuongea vizuri na kichaka.
 
Huu utakuwa ujumbe wa nne kuusikia umekwenda US kumtafuta Balali... miezi michache iliyopita walikuja wale wanaoitwa hitmen wakarudi/ama bado wapo wamejichimbia..wananchi tunafahamu hilo!

Inaonyesha wazi serikali yetu haitafuti njia za haki kupata suluhu ya swala hili la EPA kwa sababu nashindwa kabisa kuelewa kwa nini serikali yetu inamptafuta balali wakati tayari wamekwisha anza zoezi la kurudisha fedha hizo! Kwa ushahidi gani waliokuwa nao kufikia maamuzi ya kukusanya hizo fedha wakati Balali hajapatikana..

je, ina maana nusu ya fedha hizo (ambazo hazijakusanywa) haijulikani zilikwenda wapi?..

Mkandaara umenena, maana utafutaji unaozungumzwa si kama ule "rasmi" wao wanachofanya ni kuweka mazingira "ikiwa watamhitaji" iwe kazi rahisi. Hiyo ni kama wanataka kutenda haki, lakini jambo baya kuliko yote ni kwamba HAWAMTAFUTI kwa kheir wala kwa MASLAHI YA WATANZANIA... Hilo ni zito kulizungumza lakini kwa kawaida kama walitaka, MArekani hata kama haikusema, kuna utaratibu wa kawaida kwa kutumia mikataba ya kimataifa kubadilishana watuhumiwa/washitakiwa.

Mikataba hiyo inatengenezewa sheria na kwa kawaida ni lazima kuwapo kesi katika mahakama za nyumbani (Mfano Kisutu) ambayo itatoa ombi la kutaka kurudishwa kwa mtuhumiwa na ombi hilo lazima lionyeshe maelezo ya mahakamani yanayoonyesha dhahiri kuwapo kwa kesi inayoweza kusikilizwa kwa maana kuwepo kwa ushahidi wa kutosha, ili nchi aliko mtuhumiwa (Marekani) iridhike kwamba huko kuna kesi. Baadaye kesi hiyo tena ifunguliwe katika mahakama ya mahali alipo (DC/Boston) na huko sasa tena mtuhumiwa/mawakili wake ajitete kupinga kurudishwa, hadi hukumu itolewe ndipo sasa anaweza kurudishwa.

Sasa hapo ndipo tunasema HAWAWEZI kwenda RASMI, na ni kweli kama alivyosema Salva bado hawamhitaji (rasmi) bali sasa wanazunguka mbuyu kutaka kufuatilia, yuko karibu na nani na kwa maslahi gani. Je, watu wa nyumbani nani yuko karibu naye na je, amewaachia ujumbe wowote unaoweza kuwaharibia?

KUNA SIRI NZITO. PAMOJA NA KUWA WALIELEZWA KUTAMANI AFE, SASA INAWEZA KUWA KINYUME KWANI HAWAJUI MPAKA SASA ANA SIRI GANI. NADHANI WANATAMANI WAMUONE KWA SIRI KABLA HAJAFA AMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI, AMA KABLA HAJAMWAGA RADHI
 
kwi kwi kwi...

Lunyungu yaani nimecheka hapa hadi mbavu zinauma..

Wanaingia nyumba kwa nyumba na nguo zao za mgambo wakiwa na virungu vyao mkononi...... huku wakiongea kwa lafudhi nzito za kikurya kuuliza kama kuna mtu amemwona Balali kokote kulee.......

(....sssshp, baby one mom', am hearin' a knock at the door.... )

....ko ko ko ko ko... Harrrooooo, harooo!... (mmmh, Ndaki rabda hawatusikii ndani, kuna rikengere hapo pembeni?!)

....haroo haroo, we're Tanzania Security
....anyone rivingi here?
....harooooo, we have got a search warranty, anyone rivingi here?!!

(...yes, how can i help you?!)

.....we are rookingi for doctor Barari, does he rrivu here?!

(...'amma fraid not, what the matter anyway?!)

.....he's a fisadist, we've been sent by the countri to capture him
.....he stole a rrot of money from our countri. Do you know where he rrivus?!

(....'amma fraid i can't be of any help, sorry..)

.... it's okay madam, we wirri knock at the next door, thank you veri veri much!

(....baap, door slams behind...)

.....mnaona sasa, niriwaambia siyo hapa, mkanibishia, Marwa hebu rifungue risimu tena tumpigie mwenyeji wetu Barozi..

.....haroo haroo,.. Mh. Barozi kumbe siyo hapo, tumekosea tena rinamba rya nyumba, mtaa gani urisema mheshimiwa?!.......

-------------->>>>>>> and it goes on like that!!
 
Mkuu...Hii kali!
 
This is classic
 
Steve

kwi kwi kwi.... this is funny, those guys would then be arrested for domestic disturbance!
 
Back
Top Bottom