LLB by distance Learning

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Assalaam Alleikhum wana JF,

Nakuombeni, yeyote anayejua chuo chochote na kutoka popote, kinachotambulika hapa TZ na kinatoa diploma au/na degree za sheria kwa njia ya correspondence/distance.

ahsanteni,
Edylux
 
Pole ndugu. LL.B ni academic ya darasani, hakuna mkato, ila vipo vile vyuo visivyotambulika unapata degree yoyote hata hiyo LL.B tatizo hauta practize law popote.
 
Why not join Open University of Tanzania? Hata yule mfungwa alifanya degree yake akiwa gerezani, thats kinda a distance learning to me, and its recognized nchini bila wasi.
 
Assalaam Alleikhum wana JF,

Nakuombeni, yeyote anayejua chuo chochote na kutoka popote, kinachotambulika hapa TZ na kinatoa diploma au/na degree za sheria kwa njia ya correspondence/distance.

ahsanteni,
Edylux

Fungua Google na weka 'distance learning programmes'. Mfano, Uingereza kuna vyuo kadhaa, including London University, wana 'distance learning programmes'. Ila fees ziko juu sana. Nadhani inafika kama million 8 kwa hela za Tz kwa degree ya sheria. Ila unaweza kulipa kwa awamu.
 
University of London ni chuo bora duniani kina program hiyo.open university ya UK nao wanayo na ninaye jamaa anafanya L.L.B yupo hapa Tz.university of Leicester pitia website zao ni vyuo vikubwa duniani.
au nitumie email yako kwenye pm.
 
Nitashukuru sana ukinitumia anwani zao na taarifa nyingine muhimi na hat brochure zao kama unazo, labda unijulisha pia kama ukishapata degree yao unaweza kupractice hapa kwetu. Anwani yangu ni mzamil2001@yahoo.com. Shukran, Edylux
 
Pole ndugu. LL.B ni academic ya darasani, hakuna mkato, ila vipo vile vyuo visivyotambulika unapata degree yoyote hata hiyo LL.B tatizo hauta practize law popote.

Pasco, ukiangalia sheria/kanuni ya kukufanya uweze kupractice ni lazima huwe na degree ya sheria kutoka katika chuo kinachotambulika.

Kwako muulizaji, Jitahidi usome kwenye 'conventional mode' yani kwa kuudhuria darasani. Natumaini kuna vyuo hapo dar es salaam vinatoa masomo ya sheria jioni.
 
Vipi kama Chuo kinachotambulika kinatoa distance learning?

Kuna hii dhana potofu ya kwamba ukifanya distance learning inakuwa inferior.

Unaweza kufanya distance learning katika chuo kizuri ikawa na program nzuri kuliko elimu ya darasani ya chuo cha kawaida.
 
Bluray,

Umesema yote mkuu; Watu wanafikiri kusoma lazima ukae darasani na mwalimu akufundishe. Hakuna elimu ngumu na inayohitaki kujituma kama distance. Kwa mfumo huu Tutor wako humjui, anaesahihisha assignments zako na mitihani humjui.

Ila inategemea Chuo, vipo vingine ni vya kitapeli, kwa hiyo kabla hujaanza lazima ujue Chuo kiko accredited na Board gani.

Njimba
 
Back
Top Bottom