@lizzy na wenzio, mkaka akiwa na gari tu anang'oa?hata iwe STK au SU!!

Mi sijambo. . hofu kwako Jr

Hehehehe ila ukweli ndio huo.Ukitumia kitu kumpata mtu au hata kumcontrol nacho watakuja wakitumie wakisharidhika wanakuacha solemba.
Mi mzima, dah watu hawataki kuambiwa ukweli asee......maana huyo mama alikuwa mkali ile mbaya
 
Wewe theory yako ya mwaka 47! Kuwa gari ni utajiri! Wanawake wanaojitambua (wa beijing) hawashobokei cha mtu awe buzi, mume ama bf! Imani ni kuwa kama wewe unaweza kupata hiyo gari basi na mwanamke nae hana kizuizi cha kuipata. Kama walivyo wanaume wanaopenda mteremko na wadada nao wapo.

Je umewahi kumuapproach mtu wa jinsia tofauti na wewe katika maisha yako King'asti?
 
nikweli kamandaa...mimi nilikuwaa na endesha ambulensii,ilaa nilikuwa na pata totozz kweli hasa siku ya mvuaa,au juaa kali,rafiki yangu anaendesha ilee ya kubebeaa maiti na yeye anawanasaa sanaaa
 
Nadhani kuna dhana nyingine ya mwanamke kujichukulia yeye ni wa kupewa tu boyfriend/man wake hata awe nacho (comfortable) namna gani na kwa wanawake wengine ni tamaa...

Mwanamke mwingine hata awe na uwezo wa wastani kuendesha maisha yake ya kawaida,mfano kulipa bili za nyumba na ada ya shule,anarun gari ya kawaida,n.k.
Akienda lunch na kumuona mtu anapaki Fortuner,anaona,ni siku gani atakuwa na uwezo wa kununua anachokitaka,kwa wakati wowote anaoutaka...

Wiki inayofuata anamuona kwenye restaurant ileile,wakati anakula..anamkagua vidoleni,hasa vya kushoto na kugundua kwamba vidole viko bare!

Siku nyingine mnakutana palepale,kwa bahati au confidence ya wanaume,anakuja kukaa pamoja na meza aliyokaa mdada..Waiter anapokuja kumletea kitabu alipe,(dada alitangulia)yule jamaa kwa heshima na taadhima kubwa,anaomba kitabu cha bili na kuilipa..
Anamwambia mdada amemwona many times akija pale for lunch.. Wakati dada amenote hiyo coincidence mara 3 tu.. Anajaribu kuuliza usiku huwa hamwoni akija kula na kumhoji kama ana mume na watoto.. Baada ya majibu,dada naye anauliza swali kama hilo huyu anamweleza kuwa yuko single! Anaajieleza kuwa ni busy person,anashindwa kuinteract na watu kiasi cha kukosa kupoint mdada anayeweza kuwa wife material..
Wanapeana namba za simu wanaagana huku wakikubaliana kuwa wawe wanatoka lunch pamoja..

Sasa katika siku hiyo baada ya kuachana,unadhani kila mmoja wao anaondoka na kulala na mawazo gani siku hiyo?
 
Back
Top Bottom