After Who is the No 1 between Simon and Karius! Now another sensitive issue who is Midfielder between Gini and Can?
For me, My First Choice is Can Huyu Jama Sasahivi Namkubali Kweli! Baada Ya Kutoka injury Niliwahi Kumsikia Akisema Atazidisha Kukaza Msuli Kwa Nguvu Zote zile ili Kuhakikisha Anapata Namba Ya Kudumu First XI, na Nahisi Anasadikisha Maneno Yake Kwani ushindi wetu dhidi ya WBA jamaa alihusika Na Magoli yote 2....

Hata Gini Katika Kuanza ligi Hakuwa Vizuri lakini Kadri Anapocheza Kila Mechi Ndiyo Akaanza Kuhit...
Sasa na Can iwapo ataendelea Kupewa Nafasi Ya Kucheza basi Atazidi Kuinesha Mambo Makubwa Zaidi Kwani Ni Young Player na Mwenye Kujituma...
 
wote ni wazuri, but i will give it to Gini...
 
Game ilikuwa nzuri sana
Vijana wamecheza vyema sana
Vorm ni kipa mzuri zaidi hata ya Lloris
Angekuwa Lloris jana tungeshinda bao 5
 
Game ilikuwa nzuri sana
Vijana wamecheza vyema sana
Vorm ni kipa mzuri zaidi hata ya Lloris
Angekuwa Lloris jana tungeshinda bao 5
Hongereni watani kwa ushindi kiukweli naona kikosi chenu kinapanuka na kasi ipo ila nadhani Danny bado hajawa makini sana ana waangusha kimtindo.
 
Ejaria >>>>>>>>Pogba

Imagine paying 89 million for a midfielder when you can nick Ovie Ejaria off Arsenal for free!
 
Draw.jpeg
 
Ejaria where is Ojo
bado my wish wachezaji wazidi kufit kwenye geggenpressing",,,

Nimependezwa na Stewart,Grujic,Ejaria,Arnord performance ya Danny,.. Ki ukweli dressing room inaleta matokeo uwanjani nafikiri br alikua mdogo kwa wachezaji
 
Nina amini ile season ya 2013/2014 BR angeacha kuwapreshalize wachezaji wake Gerrard angenyanyua Kwapa
ndicho Klopp anafanya kwa sasa",..
 
Back
Top Bottom