Mignolet kapigiwa mashuti 19 on target, karuhusu mabao 12..hahah

analipwa 90k per week.
Sikuhizi liverpool imezifanya team pinzan kua na attempts chache..yan tunawaruhus wapinzan kua na just three or four good attempts golin but minyooo bado anafungwa magol meng kuliko anayosave...worst goalie in epl na it is mind bogling why klopp kampa new contract...au br alimdanganya sana klopp kweny ile meeting yao
 
Really, timu imekosa brain, watuwezi kupenetrate kabisa. Tunastruggle sana pale kwenye final third.
Style ya uchezaj itatoka wapi kama team haina wingers wa kuleta width au haina players walio good on the ball au haina midfielders wa kucontroll flow ya mchezo...team ilikua assembled vibaya mno na br.kumlaum klopp kwa team kushindwa kua na identity ni kumuonea..kama unakumbuka liverpool ilikua na identity crisis toka mwanzo wa msim ulopita...itachukua mda kwa klopp
 
Lol tisha Take a look at the back four
Dnt knw why nd how sakho keeps his place in the team ahead of caulker
It's better to loose with young nd upcoming players like illori than to play kolo.
Nd the worst of it all, to wake up every match day to realise mignolet has signed a contract extension nd ter stergen is freezing on the Barca bench

kiongozi,

Cauker sio LCB

BTW hivi Jana Sakho ndo alisababisha ile foul iliyowarudisha Sunderland mchezoni?
 
7f584b20968034ca0e2fd15e7a10d6fc.jpg
 
Mignolet kapigiwa mashuti 19 on target, karuhusu mabao 12..hahah

analipwa 90k per week.
Katika 19 shots on target , minyoo kafungwa 12.lol. What a horrible goalkeeper
Yani maana yake minyoo amefungwa kuliko alivosave.... 7 saves 12 goals.
 
Kama atazidi kucheza Migs hatutapata hata kombe lolote na Alhamisi Europa tutapigwa!

Huyu hata Yanga hawezi dakikia
 
Danny Ward

The way I see it team haipo organized and its out of form kabisa.

Tulipata boost kidogo klopp alivyokuja and could be it was klopp's own effect or any new coach effect but now we are back to reality.

Ward is unproven in the epl, tutakuja kumpa mzigo usio katika uwezo wake, mosdef mwenyewe ulijionea kwa bogdan ulivyo support acheze na migs akae bench madudu aliyofanya kwenye game tatu hivi made klopp recall ward na probably ataondoka lfc baada watu wa ufundi kujua wamekaa na jokeri wakati watu washalia last card hahaha

Why Ward is most likely to fail?
First atakuta back four ile ile ambayo probably itamuangusha, hata moreno hakua tatizo mwanzo wa msimu nae ugonjwa umemuingia, kabaki clyne tu, pili goalkeeping coach who is being also in the blame for bad goalkeeping will still coach ward, unless atakua anafata maelekezo yake mwenyewe, and thirdly sio most experienced or big name player kusema attitude or presence yake ita influence the team.

Kuhusu these cup games za fa cup and the final with man city there is not much we can do in terms of changing the squad it will be down to the state of mind the players are in...if it was up to me as a coach ni kuwapa motivational talk ikiwezekana kuwaita hata legends wetu ambao wapo na wamepitia situation kama hizi wakina ian rush, Kenny daglish, ata Steven Gerrard kama bado yupo holiday waje wawape pep talk and remind them ata kama they are shit players as u guys are calling them they were signed and are still playing for lfc one of the most successful clubs in Europe, they should give al they got and the fans spirit will have their back too, na ndo mana hizi cup games team kubwa zinatolewa na team ndogo za championship coz they come in it knowing they are shit and they give their all coz they have nothing to lose.
 
Luis alberto 5 goals 4 assists in 14 starts for deportivo

Luis alberto angekuepo liver msim huu angempiga bench lallana
 
Bro hakuna mtu asiyejua kuwa tuna back-line mbovu, but tunastick na Mignolet kwasababu 80% ya magoal tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe/errors/lack of concetration/kutojiamini kwa Mignolet.

na silly mistakes za Migs, huwa zinaaffect team nzima, hakuna hata mchezaji mmoja pale LFC anayemwamini Mignolet kwasasa, na kwa mantiki hiyo lazma kuwe na Tension katika team..ndo maana CMs na CBs wetu huwa wanafight mipira mingi isiingie/isifike katika eneo la Migs mara nyingi,ndiyo maana unaona team pinzani nyingi zinakuwa na shots on target chache zikicheza na sisi, but katika hizo shots chache tutafungwa, either kwa makosa ya Migs au lack of concetration ya Migs..kwa ufupi Mignolet ndiyo WEAK link kwenye back-line ya LFC.

Ward is 22, njia zote alizopitia Ward tangu achukuliwe na LFC, ndo walizopitia kina Hart, butland etc, hawa kina Hart wameanza kudakia team zao wakiwa kwenye range ya miaka ya Ward, its not about kuwa unproven kwenye league, but its about proving your abilities kama footballer, kwasababu hicho ndiyo unachotakiwa kukifanya..Pale Sunderland kina Mannone wanacheza kufa na kupona kwasababu wanapewa competition na mtoto mdogo Pickford, at this rate Ward yupo tayari kustep-up katika first team..na hata ikitokea Ward kafanya mistakes, nobody will blame him kwasababu ni young na bado ana mengi ya kuprove, but kwa Mignolet? jamaa ni experienced GK, yupo katika Top flight football kwa muda mrefu, huu ni msimu wake wa 4 pale LFC niambie unajivunia nini kwa Migs? na ndo keeper anayeongoza kwa errors ambazo zinasababisha magoli pale EPL..he should be dropped, hiyo dhana ya Unproven players huwa haina tija hasa kwa LFC, coz over the years tangu era ya Daglish tumekuwa tukinunua Premier league proven players, ambao ndiyo wamekuwa biggest FLOPS pale LFC (downing, Carrol, Adams, Konchesky, jose enrique, Cole, Mignolet, Bogdan, Lallana, Milner, Lambert, Benteke etc)..Ward antakiwa aanze mbele ya Migs mpaka May..Mignolet anafanya wenzake wacheze kwa Tension, Jana kama umeangalia games za Bournemouth Vs Arsenal na Chelsea Vs Utd, utakuwa unaona ni tofauti gani anayoileta Top GK kwenye team..

Hii picha hapa, inamuonyesha Henderson akitoa maelekezo kwa Mignolet, lakin Mignolet hata hamuangalii Henderson (it means hasikilizi kile anachoambiwa na Henderson)...asa hapo utawalaumu CBs??
 
Attachments

  • 1454933425994.jpg
    1454933425994.jpg
    87.9 KB · Views: 14
katika ile game ya Juzi, team ilikuwa inacheza vizuri sana, lakin baada ya ile howler ya Migs, morali ya team ikapotea hapo hapo..

baada ya game kuisha, Bobby alionekana amejiinamia tu..watu wanapiga kazi mbele, afu unakuja kuruhusu magoal ya kipuuzi..na isitoshe unalipwa hela nyingi kuliko kina Bobby..
 
Maneno ya Vardy kuhusu Migs baada ya ile game ya Leicester..
 
Attachments

  • 1454934479244.jpg
    1454934479244.jpg
    12.5 KB · Views: 13
Bro hakuna mtu asiyejua kuwa tuna back-line mbovu, but tunastick na Mignolet kwasababu 80% ya magoal tunayofungwa ni kwasababu ya uzembe/errors/lack of concetration/kutojiamini kwa Mignolet.

na silly mistakes za Migs, huwa zinaaffect team nzima, hakuna hata mchezaji mmoja pale LFC anayemwamini Mignolet kwasasa, na kwa mantiki hiyo lazma kuwe na Tension katika team..ndo maana CMs na CBs wetu huwa wanafight mipira mingi isiingie/isifike katika eneo la Migs mara nyingi,ndiyo maana unaona team pinzani nyingi zinakuwa na shots on target chache zikicheza na sisi, but katika hizo shots chache tutafungwa, either kwa makosa ya Migs au lack of concetration ya Migs..kwa ufupi Mignolet ndiyo WEAK link kwenye back-line ya LFC.

Ward is 22, njia zote alizopitia Ward tangu achukuliwe na LFC, ndo walizopitia kina Hart, butland etc, hawa kina Hart wameanza kudakia team zao wakiwa kwenye range ya miaka ya Ward, its not about kuwa unproven kwenye league, but its about proving your abilities kama footballer, kwasababu hicho ndiyo unachotakiwa kukifanya..Pale Sunderland kina Mannone wanacheza kufa na kupona kwasababu wanapewa competition na mtoto mdogo Pickford, at this rate Ward yupo tayari kustep-up katika first team..na hata ikitokea Ward kafanya mistakes, nobody will blame him kwasababu ni young na bado ana mengi ya kuprove, but kwa Mignolet? jamaa ni experienced GK, yupo katika Top flight football kwa muda mrefu, huu ni msimu wake wa 4 pale LFC niambie unajivunia nini kwa Migs? na ndo keeper anayeongoza kwa errors ambazo zinasababisha magoli pale EPL..he should be dropped, hiyo dhana ya Unproven players huwa haina tija hasa kwa LFC, coz over the years tangu era ya Daglish tumekuwa tukinunua Premier league proven players, ambao ndiyo wamekuwa biggest FLOPS pale LFC (downing, Carrol, Adams, Konchesky, jose enrique, Cole, Mignolet, Bogdan, Lallana, Milner, Lambert, Benteke etc)..Ward antakiwa aanze mbele ya Migs mpaka May..Mignolet anafanya wenzake wacheze kwa Tension, Jana kama umeangalia games za Bournemouth Vs Arsenal na Chelsea Vs Utd, utakuwa unaona ni tofauti gani anayoileta Top GK kwenye team..

Hii picha hapa, inamuonyesha Henderson akitoa maelekezo kwa Mignolet, lakin Mignolet hata hamuangalii Henderson (it means hasikilizi kile anachoambiwa na Henderson)...asa hapo utawalaumu CBs??

Umuhimu wa top goalkeeper hauwezi kuwa undermined, but when you happen to have none or your top gk has suddenly started to wore out what are your options?

Apigwe bench mpaka summer then auzwe meanwhile utumie the upcoming younger unexperienced goalie au to try and really try to build his confidence, concentration, winning mentality and managing other negatives as best as u can? Coz inawezekana kabisa hili tatizo la goalkeeping coach likawa real and if changes are made akaja gk coach mzuri akarudi kwenye ubora wake aliponunuliwa

But main point yangu si kusema nani mbaya nani mzuri its too late for that na hatuwezi kununua mtu sahivi, magarasa wengi kwenye this team benteke, ibe, kolo etc and overall this season as a team they have performed badly, individually kuna exception kama za coutinho, roberto na Clyne

I assure you kwenye epl we are done, but kwenye hizi cups za mtoano or final whether acheze ward or migs we can win if the mindset and spirit is there

Mpaka leo nikikumbuka that night in Istanbul sielewi tulishindaje, nilicheki mechi ya Liverpool legends nakaona wakina smicer haha these guys had no way of beating ac milan ya that era but we did and thats wat we need

Cant forget half time 3-0 down commentator anasema this game is definitely over its man against boys hahahaha chozi lilintoka!!
 
Ward itabidi apewe nafasi man..

Goalkeeping Coach ni tatizo pia pale LFC, but tukija kwa Migs utakuwaje Shit na incomptent kwa misimu mi4 mfululizo??

kipindi kile we had fighters kwenye team, players ambao walikuwa tayari kuifia team uwanjani, talents zilikuwa zinaenda sambamba na hardwork, Carra, Hyppia, Finnan, Riise, Xabi, Hamman, Gerrard, Smicer, Garcia, Kewell, Etc..a fit Sturridge and maybe Firmino kama false9 ndo wangeanza kwenye ile team..nakumbuka Hamman na Smicer wenyewe wote walianzia bench Aisee kwenye ile game..Smicer aliingia baada ya Kewell kuumia nadhan..Hamman aliingia 2nd half..

mashabiki wa LFC ambao walijiunga na LFC kwenye ule msimu wa 2013 2014, ambapo SG alisababisha goal la Demba Ba..walikuwa wanamuua sana SG, but ukiangalia ile game utaelewa kwanini SG ndo the most respected Player pale LFC..he's just 35 but ndo legend number 1 pale LFC, pale Anfield kuna kibasement/room ambayo imecontain kila kitu cha SG..ukienda kutembelea Anfield ni moja kati ya sehemu ambayo lazima upitishwe...

SG IS MY GREATEST PLAYER OF ALL TIME.

umeongelea hiyo ishu ya istanbul, umenikumbusha alikotutoa SG..and my main maaaan Mr.Rodgers akaona SG haitajiki tena LFC, its true alikuwa kaisha kimpira, but jamaa akaamua kumreplace na Milner..hhahahaaha
 
Back
Top Bottom