Live: Yanga na Simba

Hiyo Radio One haipatikani Online wakuu na sisi wengine tusikilize!
 
Wakuuu
Nyepesi nyepesi ni kuwa Mh Mbunge anadai, kocha si mzuri lazima na wao watafute mzungu ha ha ha ha, maaana Yanga alipochukua Mganda na wao wakaenda kutafuta Mganda, Yanga wamefukuza Mganda na wao wanaaza songombigo wamtimue walete Msebia pia ha ha ha
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...
 
HT Manchester C. 0 - 0 Wolverhampton W.

HT Norwich C. 0 - 1 Blackburn R.

HT Sunderland 1 - 1 Aston Villa

HT Swansea C. 0 - 0 Bolton W.

HT Wigan Athletic 0 - 1 Fulham

17:30 West Bromwich A. ? - ? Liverpoo
 
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...

Mkuu sasa mbunge si ndo mwenyekiti wa Simba, au hujui? na huwa anavaa kijani na njano ha ha ha ha ha
 
Rashid Gumbo anaingia badala ya Asamoah....wakati huo huo tegete katukosa kosa
 
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...

Mkuu lakini ushindi ukiwepo kocha hawi mbaya, mpaka mfungwe lakini??Nadhani itabidi tukubali matokeo tu kwamba kufungwa lazima na sio kocha ndio mbaya!!
 
ahh mpira Simba ilikuwa washinde leo..Timu nzuri ila kocha hana jipya..Nimesikia kuna mpango wa kukatisha contract yake na akarudi mserbia Milovan ambae alikuwa anichezesha simba toal football..watch this space
 
Back
Top Bottom