kocha wa simba yupo sokoni yanga mna bei gani
Come this way baby......:A S-baby::A S-baby::A S-baby:Hayo ndo maneno, welcome to the world baby!
Come this way baby......:A S-baby::A S-baby::A S-baby:
Invisible nimemwaminia, hili ni fundisho kwa mashabiki kutoa ahadi nzito. Hukumu za Invisible ni za kweli na za haki, sitathubutu kutoa ahadi ya jinsi hii. RIP ACCOUNT FULL tunakutakia ufufuo mwema baada ya siku ulizoomba. CC. mandieta (usije ukatoa ahadi kama ile). Eee Mkuu Invisible kumbuka kumfungulia jamaa yangu ACCOUNT FULL baada ya muda alioomba.He he hee!
kiswahili nacho miss strong kutinduliwa ndio nini?hahahaaaaaaaa
Pole kwa usingizi ..siku ukiamka ndo utaelewa tupo zama zipiDadeki zao,tuliwachomeka nyingi
kumbuka na zile 5Pole kwa usingizi ..siku ukiamka ndo utaelewa tupo zama zipi
kwel hamnazo we bado unawaza 5 tu badala ya kufikir utaboreshaje timu yako walau iwe ya kiushindanikumbuka na zile 5
kumbuka na zile 5