Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Naelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani

Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi Moro itakapopepetana na SIMBA
==========

MAGOLI
14' Ibrahim Hajib(Simba)

FULL TIME: SIMBA 2 POLISI MORO 0
 
Nafikiri macho na masikio vyote vielekee chamazi kwani wale wanaiwakilisha nchi.
 
Naelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani

Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi Moro itakapopepetana na SIMBA
Simba ina viongozi wa ajabu sana,walimtoa Tambwe sijui kwa sababu zipi then wanamwacha Maguri pale...sioni uwezo wowote wa maguli zaidi ya kukimbia kimbia na hizo nguvu wanazosema sijui zipo wapi....simba haina viungo wazuri na haina washambuliaji wazuri zaidi ya Okwi nani mwingine....katikati akiumia Mkude na kidogo midfielder mmoja jina limenitoka Simba haina lolote...hakuna kulaumu kuhusu sare tunazopata bali hakuna usajili pale..wanakera na wanaboa.kombe lina miaka na miaka haligusi msimbazi
 
Naelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani

Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi Moro itakapopepetana na SIMBA

Nafikiri macho na masikio vyote vielekee chamazi kwani wale wanaiwakilisha nchi.

Updates zitakuwepo kutoka kote kote Wakuu. Azam FC wameonesha uanamichezo wa hali ya juu, sina sababu ya kuizomea Azam FC kwa leo. Kila la heri Azam FC.

Kwa upande wa pili, mashabiki ya mikia yameshindwa kabisa kubadilika. Naitakia Simba kila la shari katika mechi yao ya leo na Polisi Morogoro.
 
Hizi thread zingeunganishwa ili tupate uhondo kutoka kila kona, Naitakia azam fc ushindi mnono dhidi ya El-marreikh kwa upande wa watani nawatakia sare ya kutofungana dhidi ya polisi moro.
 
Hivi game ya walinda raia na mali zao dhidi ya mikia itaoneshwa LIVE!!!!!!!?
 
Updates zitakuwepo kutoka kote kote Wakuu. Azam FC wameonesha uanamichezo wa hali ya juu, sina sababu ya kuizomea Azam FC kwa leo. Kila la heri Azam FC.

Kwa upande wa pili, mashabiki ya mikia yameshindwa kabisa kubadilika. Naitakia Simba kila la shari katika mechi yao ya leo na Polisi Morogoro.

Hapo kwa mikia nakubaliana nawe kwa asilimia zoote!

Polisi piga virungu kabisa huyu Paka mkubwa asiye na meno wala kucha!
 
Kikosi cha Azam fc kinachoanza leo; 1.Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Erasto Nyoni, 4.Pascal Wawa, 5. Agreey Morris, 6. Bolou Michael, 7.Salum Abubakar, 8.Frank Domayo, 9.Didier Kavumbagu, 10.Kipre Tchetche, 11. Brian Majwega. Kila la kheir azam fc.
 
Nimemiss kufungwa na Yanga

Ugubhujaga hanuma ya ngoko aliyo unyaga gohumbaga! Unauliza 'nyuma ya kuku' wakati upepo unavuma!

''WHEN THE STRONG WIND COMES, THE ANUS OF THE CHICKEN IS EXPOSED''....Anioma proverb.

Kajifunze maana ya maneno hayo.
 
Attachments

  • Chicken back.jpg
    Chicken back.jpg
    12.4 KB · Views: 410
Back
Top Bottom