Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Hii imekuaje offside ? (Goal walilokataliwa mbeya city)Naomba mnielimishe tafadhali .....
 
Mbeya City tunamaliza mechi kipindi cha kwanza. Hawa Mashujaa wakipata hata shot off target yoyote ni zaidi ya ushindi
 
Jambo siwapendi waha ila mbeya city naichukia Zaid. Bora Wana wajewagawe point za bure
 
Daaah umeleta Update hakuna hata kusema ni dk ya ngapi, kona, njano au kuna goli limekataliwa.
 
Huu mtindo naona kama haupo sawa. Yaani timu ipambane msimu mzima ishindwe halafu bado inapewa chance nyingine ya kusalia kwenye ligi? Kwa nini isingeshushwa moja kwa moja tu?
 
dk 26' mbeya city wanafanya shambulizi hapa ila goal keeper amedaka wa mashujaa.
 
Dk 28' mbeya city wamefanya shambulizi hatar sana langoni mwa mashujaa lakini halijazaa bao

mbeya city wanalalamika hapa kwamba mpira ule ulivuka mstari baada ya kugonga mwamba wa juu kuja chini ......

Refa ameamua mpira uendelee
 
Dk 31' mashujaa wanashambulia langoni mwa mbeya city ........wameokoa mbeya city
 
Back
Top Bottom