Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
Tulienda kwa Makinda Tumeenda kwa Ndugai Tumeenda kwa Lusinde sasa TUTAKWENDA KWA NCHEMBA-Dr. W.P.Slaa
 
Natazama kipindi cha uzalendo, na wageni waalikwa ni Dr. Slaa na Philip Mangula, nikimsikiliza Mangula anavyo jibu maswali ya mtangazaji inaonekana hana uwezo wala ujuzi wa kuyajibu..
kwa kweli ccm inaisha kweli!
Inaonekana umri umemuacha na hana habari na kinacho endelea kwa sasa..yupo yupo tuu siku ziende..
 
host anaitaja CDM kama chama kitarajiwa cha kushika dola 2015 ...kanifurahisha kijana huyu
 
Huyu Mzee Mangula hajatendewa haki maana hajui kujenga hoja, harafu anaonekana hafuatilii mambo yanayoendelea nchini.Ni vema angeachwa alelewe na kimwana aliyempata siku za karibuni.
 
Kipindi hiki kipya cha ITV cha saa 1:00 jioni ni uwanja mpya wa siasa!Dr Slaa anasema amekuwa na katibu wake kumbe ni usalama wa taifa na ameishi nae miaka 14 bila kujua.
-Anadai yanayotokea bungenu kwa sasa ni sahihi.
-kuongelea usalama wa taifa si vibaya na haitakiwi kuwa siri.
-safari kuelekea kwa Mwiguli Nchemba kuuliza kama wamemtuma kuvuruga upinzani upo palepale.
-CCM wanaiga mengi toka CDM.
Sikiliza kitu hapo.... ITV uone kama nawe ni mzalendo.

Kipindi kimebezia kwa Dr Slaa, naona Mangula kawekwa kando sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
slaa amebanwa kuhusu kuchanganya siasa na uanaharakati. ameshindwa kujibu kiufasaha
 
Kwa kweli Mangula hana uwezo wa kuongea sana. Yaani naona Dr. Slaa kamfunika mbaya kabisa.
 
mwendesha kipindi hawezi kubalance maswali. anamuuliza mangula maswali tofauti na ya slaa. walikua waulizwe maswali yanayo fanana ili tuweze kubalance. kipindi kimemshinda. amempa slaa muda mwingi kuliko mangula
 
wangewekwa pamoja bana!!alafu editing kibao.haijatulia....
huyo mangula anajichanganya sana hajui hata anasema nini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom