GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,277 6,673 Dec 8, 2011 #61 Mwamuzi kachezesha vizuri sana anayesema tunabebwa ana yake!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #63 GAZETI said: Mwamuzi kachezesha vizuri sana anayesema tunabebwa ana yake! Click to expand... Mwamuzi leo yuko fair.
GAZETI said: Mwamuzi kachezesha vizuri sana anayesema tunabebwa ana yake! Click to expand... Mwamuzi leo yuko fair.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #64 mkipunguni said: Mkuu, Tujuze Muda na Matokeo Click to expand... Half time, kili staz wanaongoza kwa goli moja.
mkipunguni said: Mkuu, Tujuze Muda na Matokeo Click to expand... Half time, kili staz wanaongoza kwa goli moja.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #65 mbambaguy said: kili s*z ndo nn Click to expand... Tanganyika staz!
Bantugbro JF-Expert Member Feb 22, 2009 4,476 4,250 Dec 8, 2011 #66 Mkombe Katavi, hivi hii mechi haiko live online?
PingPong JF-Expert Member Dec 21, 2008 926 160 Dec 8, 2011 #67 tunaiombea kili stars imalize vyema second half, maana gundu lilikuwa limezidi ....lol
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,082 Dec 8, 2011 #69 Wawe makini tu maana hawa waganda wakirudisha goli tu itakuwa balaa...halafu kipindi cha pili Waganda wanaweza kubadilika
Wawe makini tu maana hawa waganda wakirudisha goli tu itakuwa balaa...halafu kipindi cha pili Waganda wanaweza kubadilika
Mizizi JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,275 391 Dec 8, 2011 #70 okwi ndio anaingia kwa upande wa uganda dk 54
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,082 Dec 8, 2011 #71 Hivi ile mechi ya kwanza nani kafanikiwa kuingia fainali?
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #74 Bantugbro said: Mkombe Katavi, hivi hii mechi haiko live online? Click to expand... Kuna jamaa katoa link!
Bantugbro said: Mkombe Katavi, hivi hii mechi haiko live online? Click to expand... Kuna jamaa katoa link!
Mizizi JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,275 391 Dec 8, 2011 #75 The Finest said: Hivi ile mechi ya kwanza nani kafanikiwa kuingia fainali? Click to expand... Rwanda, wameshinda 2-1
The Finest said: Hivi ile mechi ya kwanza nani kafanikiwa kuingia fainali? Click to expand... Rwanda, wameshinda 2-1
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,493 54,900 Dec 8, 2011 #76 Andrew mwesigwa katuua dk ya 56. kona imepigwa mabeki wakashangaa. Mia
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #78 Wamekuja na nguvu ya ajabu hawa waganda, wamesawazisha!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Dec 8, 2011 Thread starter #79 littleX said: nasikia wamerudisha? Click to expand... Ndio na kuna kila dalili wakatufunga!
The Dude JF-Expert Member Sep 14, 2011 1,029 453 Dec 8, 2011 #80 Mwee kilimanjaro staaziii mwee tufwile gunyambala!