Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,197
anaongelea mgomo wa madaktari na majadiliano ya katiba ndani ya bunge.
si sahihi sana mwajiriwa kumuwekea masharti mwajiri kushinikiza maslahi.
siku hizi huyu jamaa amekuwa jalala amekosa mvuto:nerd:
zito ana maana gani,anaposema pamoja na kufukuzwa ila kila mtu ahukumiwe kwa makosa yao.
Duh! .... huyu jamaa siyo CDM. He's leaning towards the govt.
anafahamu kuwa leo hana majukumu ya kiserikali, ukifika wakati anaweza kuwa waziri na kadhia hii inaweza kumkuta siku moja. huu ni mtizamo wangu
Hata mimi namuangalia, kusema ukweli huyu Zitto Kabwe ni kichwa mbaya!.
Hata mimi namuangalia, kusema ukweli huyu Zitto Kabwe ni kichwa mbaya!.
ameweza kufafanu mambo mengi pia kasema CHADEMA itafanya lolote ili kupata katiba mpya.