LIVE: Mh. Zito Kabwe ndani ya star tv

si sahihi sana mwajiriwa kumuwekea masharti mwajiri kushinikiza maslahi.
 
asema kiongozi hasemi yote,mengine unayaacha..sio kusema yote kama alivyofanya mh waziri.
 
Duh! .... huyu jamaa siyo CDM. He's leaning towards the govt.
 
zito ana maana gani,anaposema pamoja na kufukuzwa ila kila mtu ahukumiwe kwa makosa yao.

anafahamu kuwa leo hana majukumu ya kiserikali, ukifika wakati anaweza kuwa waziri na kadhia hii inaweza kumkuta siku moja. huu ni mtizamo wangu
 
anafahamu kuwa leo hana majukumu ya kiserikali, ukifika wakati anaweza kuwa waziri na kadhia hii inaweza kumkuta siku moja. huu ni mtizamo wangu

huko sawa mkuu naona anajaribu kuongea kwa taadhali kubwa,ila inaonekana anahisi kuna baadhi ya viongozi hawausiki na mgogoro huu pale wizarani.
 
asema anawashangaa watu kusema walienda ikuru kunywa juice,kasema kunywa juice ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom