LIVE:Mdahalo wa sensa TBC na Channel Ten kutana na Mkurukenzi wa Takwimu Taifa

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Hapa ni mdahalo live wa sensa ya watu na makazi ukiongozwa na Gabriel Zakaria,Katibu wa Baraza la Waislamu na Mwenyekiti wa Wapo na Mkurugenzi wa Takwimu taifa





Kuna maswali moto moto hapa kutoka kwa wasikilizaji na watazamaji huyu mkurugenzi na hisi anapoelekea kuwa na hasira sasa,wadau tazameni mkiweza pigeni simu kutoa madukuduku yao!!!!!
 
haukuwa mdahalo mkuu....just a normal live broadcasting na watu wakialikwa kupiga simu.

TBC hawana courage ya kuendesha midahalo ingawa najua Pascal Mayalla hatokubaliana nami mpaka hapo UCCM wao utakapokwisha.

Nadhani kipindi kingenoga zaidi na kuwa unbiased kama host Gabriel Zakaria angewaalika akina Shekhe Ponda maana hao hasa ndiyo wapinzani wa hiyo sensa. na siyo akina Mataka pekee..nadhani hakukitendea haki hicho kipindi wala watazmaji b'se hakukuwa na objectivity ya kutosha.

Irrespective of their controversial stance...at least angewapa nafasi ya kusikika b'se huyo Mataka hana influence yoyote si kwa hao anti Bakwata yaani akina Ponda bali hata kwa hao Pro Bakwata...kifupi ikiwa Mataka ndiyo sample basi haikuwa representative vya kutosha na kwa hiyo hata final conclusion katika hiyo analysis itakuwa flawed!!!

Ni mtazamo tu anyway!
 
Huyu mama mkurugenzi wa takwimu hopeless kabisa yaani anajazba na anaruka ruka tu kwenye kiti hakuna jambo la maana anaongea....
 
Hivi sensa ya mwaka huu ina tofauti gani na zilizopita? Kama sikosei hii ni ya tano toka tupate uhuru. Huko nyuma hakuna aliyekuwa anaona tatizo kushiriki sensa. Mwaka huu sensa imekuwa kama vile ni mashindano ya kiitikadi au imani. So sad!!
 
Back
Top Bottom