Live kutoka full councill ya Halimashauri ya Jiji la Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Wanabodi,
Nipo kwenye kikao cha baraza la madiwani,ni kikao kilichovunjika baada ya madiwani wa CCM kususa.

Baada ya madiwani kufika diwani wa CHADEMA Nanyaro ametoa hoja kuwa kanuni ifuatwe,kwa kuwataka wajumbe wachague mwenyekiti wa muda,na kumteua Diwani mwenzake wa CHADEMA Bwana Msofe awe mwenyekiti wa muda wa kikao.

Leo hata mh Lema yupo kwenye kikao kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe,madiwani wa CCM wamekaa kwa huzuni.
 
Tunategemea muwe mfano.kama kuna uozo ulikuwa ukikaliwa na meya&madiwan wa CCM uanikwe xaxa!
 
Wanabodi,
Nipo kwenye kikao cha baraza la madiwani,ni kikao kilichovunjika baada
ya madiwani wa CCM kususa.

Baada ya madiwani kufika diwani wa CHADEMA Nanyaro ametoa hoja kuwa
kanuni ifuatwe,kwa kuwataka wajumbe wachague mwenyekiti wa muda,na
kumteua Diwani mwenzake wa CHADEMA Bwana Msofe awe mwenyekiti wa muda wa
kikao.

Leo hata mh Lema yupo kwenye kikao kwa mara ya kwanza tangu
achaguliwe,madiwani wa CCM wamekaa kwa huzuni.[/QUOTETunategemea mabadiliko chanya chini ya uongozi wa chadema.
 
Je Mama Mhe. Sana Mkurugenzi Liana Spora yupo? huo ndiye kiboko ya MAFISADI WA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
 
jana nilisikia wananchi wakitangaziwa wanakaribishwa kwenye kikao cha madiwani kuanzia leo kesho na mimi naenda kumbe tamu ee?
 
Wanabodi,
Nipo kwenye kikao cha baraza la madiwani,ni kikao kilichovunjika baada ya madiwani wa CCM kususa.

Baada ya madiwani kufika diwani wa CHADEMA Nanyaro ametoa hoja kuwa kanuni ifuatwe,kwa kuwataka wajumbe wachague mwenyekiti wa muda,na kumteua Diwani mwenzake wa CHADEMA Bwana Msofe awe mwenyekiti wa muda wa kikao.

Leo hata mh Lema yupo kwenye kikao kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe,madiwani wa CCM wamekaa kwa huzuni.

Acha kupotosha UMMA.
 
Ama kweli wewe huna ethics hata kidogo, kweli ni haki wewe kuwa kwenye hicho kikao na ku leak information. Au unatafuta sifa JF. wacha unafiki
 
Back
Top Bottom