Live: KUTOKA BUTIAMA

anaongelea kuwa anapeleka bungeni muswada wa kudhibiti biashara na siasa...na muswada wa kudhibiti matumizi ya pesa za uchaguzi...lengo ni kuzuia watu kuingia madarakani na pesa za ufisadi na rushwa..

anaongelea kuweka usawa wa uongozi 50 kwa 50 kwa akina mama ...na baba..
 
Jamani achaneni na habari hizo za Butiama, mimi nina hasira hadi ninataka kupiga watoto wangu wanapofosi waendelee kuangalia hayo matumizi ya hela za serikali bila tija!...Mitumbo yao mikubwa mipana, kama magunia, na hawaoni aibu jinsi walivyo tofauti na wananchi wa kawaida...puuuuuhh!. Wananiboa mimi bana! Mikalio ndo usiseme.. Ukianzisha mada ya kujenga chuo kikuu hapo Butiama wataanza kuinamisha sura kama vile wanashikisha mtu ukuta!...sIWAPENDI HAO WANGEJUA...!

wangekuwa wanamuenzi mzee kweli ningewaunga mkono. istoshe hata kinachooneshwa mbele ya wageni wala hakifanani na kumuenzi mwalimu. mwalimu hakuwa mtu wa judo! mwalimu hakuwa akitumia pesa nyingi kusherehekea!........anyway, poa.
 
anaongelea uchaguzi wa serikali za mitaa na demokrasia kwa ujumla ...anataka tumuenzi mwalimu....kwa kushiriki uchaguzi huo..

anasema watu hawawajui viongozi wao wa serikali za mitaa...hasa viongozi....
 
Kama za Mkapa?

hotuba fupi kama ya castro au ghadafi tehe teh!!!

inaonekana leo atatoa hotuba fupi sana ...sasa anasema hotuba haitakamilika kama hatawashukuru vijana waliotembea kuanzia mwanza hadi butiama.....

.....anawafagilia saaaaaana umoja wa vijana ....!!
 
anawafagilia TBC kwa kufagilia hotuba za mwalimu....

anasema watu wasidanyanyike kama fataki na viongozi wanaotishia umoja...
 
ANAOngelea mauwaji ya rwanda na kusema pamoja na kuwa kote ni wakatoliki waliuwana kwa ajili ya ukabila na hadi mapadri walishiriki....mauwaji....anasema huu ni mfano wa namna umoja unavoweza kuvunjika!!
 
Haya mambo ya Rwanda yameshazungumzwa sana.... sasa hakuna haja ya kurudia rudia...
 
amefikia mwisho wa hotuba yake ya dakika 25..[nadhani ni kati hotuba zake fupi,anafuata ushauri wa madaktari sasa].....anawashukuru walioandaa hafla hii...anamkariri mwanamapinduzi wa guinue bissau aliposema kwenye mazishi ya kwame nkrumah" msilie bali furahini mnapomzika mwanamapinduzi..".. anasema tusheherekee maisha ya mwalimu[...celebrating his life..]....

amemaliza hotuba na ametoa ruhusa mwenge uzimwe....anakaaa!!!

hii kwa sandards za jk ni hotuba fupi .
 
Duh Muungwana kweli mgonjwa hii inaweza kuwa moja ya hotuba zake fupi sana.Tanzania inahitaji Rais mwenye afya nzuri,Muungwana anatakiwa kupumzika asigombee tena kipindi cha pili.
 
hotuba aliyoandaliwa hakuisoma kabisa...kwa kuiona imesheheni na angeisoma angehitaji saa limoja na ushee..sijui labda kafanya executive summary...maana it seems hotuba ameionea mara ya kwanza uwanjani...labda ni kati ya juhudi za kumpunguzia kazi....hata muda wa kusoma hotuba kabla ya kuja kwenye hafla hapati!!!
 
amefikia mwisho wa hotuba yake ya dakika 25..[nadhani ni kati hotuba zake fupi,anafuata ushauri wa madaktari sasa].....anawashukuru walioandaa hafla hii...anamkariri mwanamapinduzi wa guinue bissau aliposema kwenye mazishi ya kwame nkrumah" msilie bali furahini mnapomzika mwanamapinduzi..".. anasema tusheherekee maisha ya mwalimu[...celebrating his life..]....

amemaliza hotuba na ametoa ruhusa mwenge uzimwe....anakaaa!!!

hii kwa sandards za jk ni hotuba fupi .

Amejitahidi sana ndani ya dk 25 amefanikiwa kumaliza kuhutubia...!!
 
Back
Top Bottom