Live:Kikao cha harusi ya Madame B na Ruhazwe JR,kinaendelea!!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
  • Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
  • Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
  • Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
  • Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
  • Kufunga kikao-Mwenyekiti
 
kikao chenyewe kimechelewa, hakuna vinywaji na mmekuja mmenuna, sie ndo tuliwatuma muoane?
 
WENYEVITI KAMATI NDOGONDOGO.
charminglady - mapambo.
badili tabia - vinywaji.
erickb52 - ulinzi.
judgement - jikoni(chakula).
kongosho - honeymoon location.
amyner - mweka hazina.
m jr - usafiri.
beibe nasty - zawadi.

NB. kama hujaridhika na kamati yako unaweza kubadilishana na mtu
 
bajeti yenyewe ya vinywaji bwana harusi aliyopropose hata togwa hupati......

Mwenyekiti wa kikao tafadhali himiza watu wachange kwa bidii, pleji mpya zinahitajika kufikia malengo

kwa Kongosho nakupa zote mia,hapa kwa mweka hazina hapa mmmm! Naomba urudie,alafu hapo kwa beibe nasty mtafutie msaidizi.ulinzi anatosha labda muongeze Bishanga kwakua kikosi cha kova kitakuwepo hamna tatizo,bado ahadi,tunamsubiri mama wa bw/harusi afungue dimba
 
bajeti yenyewe ya vinywaji bwana harusi aliyopropose hata togwa hupati......

Mwenyekiti wa kikao tafadhali himiza watu wachange kwa bidii, pleji mpya zinahitajika kufikia malengo

utaweza kushindana na TBL?maana mpango unafanywa ili uzalisha wa kiwanda wa wiki nzima uletwe kwenye harusi...usihofu wewe jiandae tu
 
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
  • Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
  • Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
  • Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
  • Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
  • Kufunga kikao-Mwenyekiti

mimi hapo ucniamishe, ndo nnapopapenda
 
Bw, harusi tuko njiani , tunakuja nampitia Beibe Nasty salon nimpik tuje.
Kila kitu katika kamati yetu, tulishaweka sawa jioni ya leo.
 
WENYEVITI KAMATI NDOGONDOGO.
charminglady - mapambo.
badili tabia - vinywaji.
erickb52 - ulinzi.
judgement - jikoni(chakula).
kongosho - honeymoon location.
amyner - mweka hazina.
m jr - usafiri.
beibe nasty - zawadi.

NB. kama hujaridhika na kamati yako unaweza kubadilishana na mtu

Zawadi hakuna vyombo vya plastic, na kama ni pesa basi ianze 50000
 
Wakubwa!
zifuatazo ni ajenda
  • Kufungua kikao-Wazazi wa bwana harusi(Mamdenyi)
  • Kuchagua M/kiti na wenyeviti wa kamati ya ndogondogo-Junior. Cux
  • Kutoa ahadi za michango-wajumbe wote wakiongozwa na wazazi bw/harusi
  • Kupata chakula na vinywaji-sweetlady, Chamirminggirl, Kongosho, Jugement, Kijino, Erick52
  • Kufunga kikao-Mwenyekiti

Mura mbona mimi simo? Au mpaka nitoe ahadi ya kuwagharimia honeymoon?
 
Back
Top Bottom