Live:Kikao cha harusi ya Madame B na Ruhazwe JR,kinaendelea!!

jamani wanakamati! Kuna taarifa imetufikia hivi punde,eee nasikia kunawatu wamepandikizwa,kuja kuvuruga mipango ya harusi.Sasa basi kwakua kitu kizur kinapatikana kwa mbinde na vikwazo vya kila aina,natoa tamko nyinyi endeleeni na kikao ulinzi upo wa kutosha kamanda kova hatakua pekee yake nimeagiza Jesh la NATO mda si mrefu wataingia hapa.Junior .Cux,endelea na kikao.msihofu
 
Nasty , humu ndani ya ukumbi kuna kelele nyingi, hebu toka nje ya ukumbi piga ile No niliyokupa waambie waongeze viti kama 40 hivi, angalia upande huu kumeanza kujaa,
fasta changamka!
 
nani kamanda kova angalia huku,we nani mwamnyange sogea hapa,nanii wewe mwema uko wapi....?we mwenyekiti wa ulinzi piga si uulize Nato wamefika wap?

Acha mkwara.............NAOMBA KUWATANGAZIA WATU WOTE MLIOKO HUMU NDANI KWAMBA HARUSI HII HAITAFANYIKA NA KWAMBA KIKAO KIMEVUNJWA...........ANAYEBISHA ASUBIRI AONE MATOKEO
 
aaa!...Bestman hutakiwi kuhangaika wewe unatakiwa uwe pembeni yangu tukiwa tumepiga sare za suti ya kufa mtu

Haya ngoja nifanye mpango tuagize amerika maana zile suti za ulaya kama vile hazifai. Vp umefikia wapi mpango wa shela?
 
Ndugu mwenyekiti!hali halis inayoendea nje ya ukumbi ni kwamba,tayari vikosi vya NATO vimewasili mnaombwa kuendelea na shughuli zenu,sisi tunasimamia usalama kuhakikisha mipango yenu inakamilika.tumelipwa pesa ya kutosha kwaajili ya kudumisha ulinzi dhid ya vibaka wa ndoa za watu.Kwakweli tunausongo sana toka tupigane Libya hadi leo hatujamtia mtu mikono hivyo tumemiss fani.hatupo Nato pekee yetu tuna kikosi cha mambo ya uchawi kutoka Nigeria hii ni kwaajili kama mtu atakuja kwa uchawi tukofiti pia.ahsanteni kwa kunisikiliza,endeleeni na kikao
 
wakubwa mnaombwa kuendelea.siku zote vitamu vinapatikana kwa shida kidogo kwa hiyo msihofu
 
Ruhazwe Jr , shughuli inaendelea kama ilivyopangwa, wapombekao waendelee kupombeka, hivi vijimikwarashombo, ni mafua tu flani.
Kuna vijana kama wawili wa hapa Jf na wawili kutoka fcbk wako field ya kujifunza kuandika tamthilia.
 
Nasty , humu ndani ya ukumbi kuna kelele nyingi, hebu toka nje ya ukumbi piga ile No niliyokupa waambie waongeze viti kama 40 hivi, angalia upande huu kumeanza kujaa,
fasta changamka!

Bby tayarii mtandao nao ulisumbua junior nakuomba jaman one time
 
Ruhazwe Jr , shughuli inaendelea kama ilivyopangwa, wapombekao waendelee kupombeka, hivi vijimikwarashombo, ni mafua tu flani.
Kuna vijana kama wawili wa hapa Jf na wawili kutoka fcbk wako field ya kujifunza kuandika tamthilia.

Sasa huyu b52 yuwapi nae awakumbushe hawa mabaunsa kuhusu wazamiaji na wanaotaka haribu shughulii hun hebu nsubiri bana halaf mesahau kukuambia umependeza my loveee hapo kikaon je harusin si ndo itabid tuingie mtandaon tutafute nguo au tuwasiliane na luis vouton
 
ruhazwe jr , shughuli inaendelea kama ilivyopangwa, wapombekao waendelee kupombeka, hivi vijimikwarashombo, ni mafua tu flani.
Kuna vijana kama wawili wa hapa jf na wawili kutoka fcbk wako field ya kujifunza kuandika tamthilia.

hatoki mtu hapa..mpaka mwizi aonekane
 
Heshima kwa mfukua makaburi yaan huogopi hata kukutana na mazombi mkuu,, ha ha haaa
 
Back
Top Bottom