LIVE from Arumeru-East constituency, Hitimisho la kampeni CCM yaendelea kutikisa mapemaa

Soma vizuri, "toka" 12 alfajiri. Mbona hilo neno "toka" umeliruka?

@Ribosome, naamini serengeti zitakuwa zimekutoka asubuhi hii. Mdau wako kaandika hivi: tayari zaidi ya watu 10,000 wameshaanza kusogea katika eneo la tukio asubuhii na hapa anaongelea saa 12 wakati maandalizi bado yanaendelea.

punguza ulabu!
 
Ulimi ee ! Mdomo.. Ee kila kiumbe Wa mja amepewa hata wendawazimu nao huongea.. Wapwayukaji waache wapayuke wapendavyo.. Lakini kesho haiko mbali.. Waliotutukana, waliotuchamba, waliotudhalilisha.. Kesho lazima muone matunda ya matusi.. Kwamba Matusi ni Mtaji Kwa wapumbavu.. Nadhani mlitutukana mkipima kwamba sisi ni mabwege au tuna akili timamu.. Kesho tutawajibu.. Aisee eti mnasema mwanamke Mjamzito hula matakataka ya uchungu Na kutematema mate ovyo.. Aisee.. Aisee.. Kama si kupitia mimba nani Angekuja Duniani.. Sasa kwanini kudhalilisha Radhia hii ya mwenyezi Mungu Jukwaani??!!!?? Tutawajibu KESHO..
 
538130_2956761197377_1211888716_32676336_828378921_n.jpg
522526_2956759237328_1211888716_32676335_1663950595_n.jpg
 
bado najiuliza hili ni tangazo la kuomba watu wahudhurie kwa wingìi, au ni hitimisho la mkutano ulivyofana au...! Magreat thinker naomba msaada wenu mkutano utafanyika kikatiti taarifa ni za kutoka usa na maeneo ya jirani mbona mwandishi anatapatapa sana!
Humu jf hatuhitaji vilaza kama hawa mods mko wapi?
 
Leo arumeru imechangamka kupita kiasi, Wananchi wanoonekana wakiwa na nyuso za furaha na tayari wametupia uzi wao wa kijani na njano kuendelea kuipa support chama kubwa CCM. Katiaka mitaa yoye ya Usa river, Leganga hadi Tengeru ni kijani kitupu huwezi amini kama chadema leo watafanikiwa kukamilisha mikutano yao ya kampeni ktk maeneo hayo.

Wananchi wanajadiliana jinsi watakavyo imaliza chadema kesho na huku wakioneshwa kukoshwa na ujio wa Lowasa katika Jimbo la Arumeru east kama ukombozi wao; kwa kweli hali ni shwari kabisa katika barabaro yote ya Arusha- Moshi ikiwa imepambwa na rangi za kijani na njano du leo CCM kufunika mbaya mitaa ya Leganga, USA River na Leganga ingawa haitafanya mikutano katika maeneo yao but kunauwezakano wa ze next nevel...... kupita kusalimia wananchi katika gari lawazi baadae mchana wa leo stay tuned. Aidha kunadalili zinaonesha kuwa mida ya mchana mitaa ya usa river na leganga itakuwa tupu kabisa kwani maelfu ya watu watahudhuria mkutano wa CCM utakaofanyika King'ori

Mkutano wa funga kazi King'ori
Maandalizi ya mkutano mkubwa katika mji ambao Chadema wataambulia patupu yanaendelea kufanyika toka saa 12 Alfariji na tayari zaidi ya watu 10,000 wameshaanza kusogea katika eneo la tukio asubuhii. Mkutano huu utavunja rekodi ya mahudhurio na kuweka historia kwani utaahudhuria na maelfu ya watu.
Habari zote zitatupiwa hapa hapa na kikosi mabadiliko ndani ya Chama kiongozwa na comrade Mr emmy stay tuned CCM ni zaidi ya uijuavyo ni zaidi ya neno mkakati, ushindi lazima Arumeru East keshoooo.


thread zako za kishabiki na kuwaada wenzako ambao wapo nje ya Arumeru kuwa mnakubali haitasaidia kuwa ongezea zaidi ya kuwaliza baada ya dakika.
Tupa kule
 
nyie vibaka wa ccm si mlisema jamii forum ni ya chadema sasa nendeni kwenye gazeti la uhuru na mzalendo muanduke uzushi wenu.sasa mnakubali wajinga wanapungua tanzania,watumieni akina mbwa lusinde kutapika kama wewe
 
nyie vibaka wa ccm si mlisema jamii forum ni ya chadema sasa nendeni kwenye gazeti la uhuru na mzalendo muanduke uzushi wenu.sasa mnakubali wajinga wanapungua tanzania,watumieni akina mbwa lusinde kutapika kama wewe


unapata faida gani kutukana ? au umesahau kuna hii kitu ?
report-40b.png
kuwa mtu mzima bwana.
 
join Date : 13th March 2012
Posts : 30
Rep Power : 309
Likes Received8
Likes Given2






ulijiunga kwa ajili ya kampeni au?
 
Back
Top Bottom