Live Coverage from Mzenga Old Stand Grounds Mlandizi

UJANJAUJANJA

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
226
122
Wana JF,

Naomba mniruhusu kuwaletea kinachojiri au yatakayojiri katika viwanja hivi ambapo makamanda wa CHADEMA wana mkutano wa hadhara wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kanda, Mabere Nyaucho Marando
 
Tupo pamoja Kamanda UJANJAUJANJA. Sasa Kibaha tuko mbele kimapambano.Hatuburuzwi tena kama zamani. Nogesheni mabandiko yako na picha. Viva CHADEMA,viva Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Kamanda,Diwani Kata ya Mabibo anaitwa jukwaani sasa aanze kuhutubia,watu wanazidi kumiminika hapa
 
Wana JF,

Naomba mniruhusu kuwaletea kinachojiri au yatakayojiri katika viwanja hivi ambapo makamanda wa CDM wana mkutano wa hadhara wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kanda, Mabere Nyaucho Marando

Si tuliambiwa mkiti wa kanda ni prof safari? imekuaje marando kamnyanganya kiholela?
 
My web,ukitaka kujua ni wa jeshi gani na intake gani wafuate wale wang'oa kucha
 
Wajumbe mtanisamehe na kasimu kangu kuhusu picture upload,but I will try my level best
 
Mwenyekiti Bavicha anajongea jukwaani kufungua mkutano kwa niaba ya Mwenyekiti wa Chama Mkoa
 
Back
Top Bottom