Jamani mnakaribishwa katika Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayofanyika tarehe 26/09/2010 pale Mlimani City kuanzia saa 8.30 mchana mpaka saa 12.30 jioni. Tiketi zinapatikana Dar es Salaam Pentecotal church - Kinondoni, CLC bookshop, Victoria Petrol Station na Mr. Price Mlimani City. Nyote Mnakaribishwa