Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.
 
Kwa hiyo ile ya Wizara ya Elimu imepita kilaini hivyo?
 
Amesema kuwa pato la taifa limeongezeka na kufikia asilimia 6.8 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 6.4 kwa mwaka wa fedha uliopita wa 2011/2012
 
Anasema kuwa kiwango cha deni la taifa ni kidogo ukilinganisha na ukuaji wa pato la taifa. Kwamba uwezo wa nchi kulipa deni hilo ni mkubwa kuliko ukuaji wa deni
 
Mfumo wa malipo serikalini umeboreshwa kwa lengo la kusimamia malipo ya fedha za umma
 
Amesema kuwa pato la taifa limeongezeka na kufikia asilimia 6.8 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 6.4 kwa mwaka wa fedha uliopita wa 2011/2012

Meaning 'market value' imepanda! Ina reflect uhalisia wa Taifa!
 
Anasema kuwa wahasibu 400 toka hazina na ofisi za uhasibu mikoani wamepata mafunzo ya jinsi ya kusimamia fedha za umma kwa viwango vya kimataifa
 
Naomba usikilize kwa makini sana pale kwenye kipengele cha PYE. nitafurahi ukitujulisha atasema nini?
Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.
 
Anasema kuwa kwa mara ya kwanza hesabu za fedha kwa wizara na idara za serikali zitaandaliwa kwa kutumia viwango vya kimataifa
 
Wizara kuendelea kutoa mafunzo elekezi kwa wahasibu ili kuzidi kuwajengea utendaji thabiti.
 
Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.

Anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya WIZARA YAKE YA FEDHA, siyo ya SERIKALI. Bajeti ya serikali itasomwa kama kawaida alhamisi wiki ijayo kwa pamoja na nchi nyi ngine za Afrika Mashariki
 
Jamani ufafanuzi anayo wasilisha ni Bajeti ya Wizara ya Fedha ama Bajeti ya Serikali kwa Fy 2013/2014?.maana hivyo ni vitu viwili tofauti.bajeti ya serikali inakuwa ya Mwisho kabisa baada ya wizara Zote kupitishwa!
 
Asisahau kutolea ufafanuzi fedha za EPA

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jamani ufafanuzi anayo wasilisha ni Bajeti ya Wizara ya Fedha ama Bajeti ya Serikali kwa Fy 2013/2014?.maana hivyo ni vitu viwili tofauti.bajeti ya serikali inakuwa ya Mwisho kabisa baada ya wizara Zote kupitishwa!
Mkuu, kwani kuna wizara imebaki?
 
Back
Top Bottom