List of the Top beggars in the World

Nchi 20 zinazoongoza duniani kupokea misaada ya kimaendeleo ni Iraq (Dola Bilioni 9.115) ikifuatiwa na Afghanistan (dola bilioni 3.951. Nchi ya Tanzania ni ya tatu kwa kupokea dola takribani bilioni 2.811 kwa mwaka​

Mkuu tupatie source basi, or website, kuna watu tulikuwa tunabishana wanataka niwape proof. Msaada plz
 
hakuna nchi isiyoomba na kukopa duniani,we angalia hata china imo ndani ya nyumba,kikubwa ni kuwa na nidhamu ya kulipa
 
Waongo hao. Israel inapokea billion ngapi kutoka US?

US hawatoi msaada kwa Israel ila wanatoa kamisheni kwa kuwatumia magenius wao kwenye mambo ya kiteknolojia, kama kwenye jeshi na kwingineko. Fuatilia vizuri utaelewa.
 
CHINA? no way, nchi ya 3 kwa uchumi duniani haiwez kuwa kwenye list ya beggas, n plz tofautisha kat ya begaz na wakopaji
 
maskini nchi yangu. Tuliambiwa ili tuendelee tunahitaji v2 vinnee,
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi bora
kuanzia uhur tumekuwa tukipata misaaada kuanzia usd 39.19 (tsh 66bill) na imekua ikiongezeka ktk miaka ya hivi karibuni kufikia usd 2.89 bill(tsh 3 trillion) leo hii sisi ni nchi ya kwanza ktk afrika kwa kusaidiwa, na ni nchi ya tatu dunia, nyuma ya nchi za iraq na afghanistan, nchi ambazo tunajua zimefikia hapo kwa njama za kimakusudi za mataifa hayo ya ulaya kuwatumbukiza ktk vita.

Je, watanzania wenzangu hivi tunashereherekea miaka 50 ya uhuru kwa hali gani........?

Ni nini hakipo ktk hivyo vitu vinne.....?

nchi
msaada katika
bilioni za dola
1. iraq
9.115
2. afghanistan
3.951
3. tanzania
2.811
4. Vietnam
2.497
5. ethiopia
2.422
6. pakistan
2.212
7. sudan
2.104
8. nigeria
2.042
9. Caneroon
1.933
10. palestine
1.868
11. mozambique
1.777
12. uganda
1.728
13. bangladesh
1.502
14. china
1.439
15. india
1.298
16. kenya
1.275
17. jamhuri ya kongo
1.217
18. ghana
1.151
19. moroko
1.090
20. misri
1.083
kumbe ndio mana jirani zetu wakenya wanatudharau.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom