List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

Njia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah

unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?

Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome
Utakapompelekea maana unaweza kuwa wakala wake muulize na Kagoda ni yake?Halafu majina yake kamili ni yale aliyoandikisha kwenye Kampuni zake au Jina la Bungeni?JF ni huru kujadili kama inasemwa uongo kanusha kwa kutoa ukweli ili ijadiliwa,acha kutaka kuziba uhuru wa wa JF kama thread inakukera usiisome,soma zinazokukuna wewe,huwezi kunihukumu kwa kukushauri.
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG

IMG_6995.JPG

IMG_6926.JPG

IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg

DSC_0522.JPG
 
I like this guy how rock him self...wish to be like him...rostam Aziz....naachana na siasa uchwara za Tanzania...akaachia jumbo...nani mwengine ataweza...kamfuata.MOHAMED....wa singida kaachia kimnya kimnya...tunabaki kubwabwaja...
 
Ukiunganisha matukio kuna picha kubwa inaonekana.......!

Prof Shivji anauliza haya yanfanywa na Majemedari au Majizi......

Hope ni majemedari.....
 
Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.
  1. Africa Tanneries Ltd- Mwanza
  2. Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGORO
  3. African Trade Development Group (Tz),
  4. Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
  5. Caspian construction
  6. New Habari corporation
  7. Wembere Hunting Safari company with Akram Aziz
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.
Picha inaanza kunoga
 
We need to ask all of the tough questions, The time of smiling is over, our prosecutors had chances to ask all of the tough questions for us unfortunately they didnt do it. It is our turn to do it and this time we will know the truth. Tunataka tufahamu Uhusiano wa kibaishara wa RA na METL.
Hawa Rostam na Mohamed mi nafikiri wamekuwa waendelezaji tu wa mali nyingi zilizo vunwa kutokana na uwindaji halali (kidogo) na haramu (sana) kutoka kwa watangulizi wao.
Watanzania wengi wenye asili ya Asia toka enzi za mwalimu kurudi nyuma, biashara yao kuu ilikuwa ni uwindaji (wengi wanamiliki vitalu huko mbugani).
Sasa hapa kwenye uwindaji unakuta mtu anaweza kuwa na kibali halali lakini anaunganisha humohumo na uwindaji haramu. Kile kibali kinakuwa kama ngao au kichaka cha kujificha
Hawa ndiyo leo mabilioneo wa nchi yetu Tanzania
 
Sio hao tu na Waarabu na wabulushi pia.Jiulize kwa nini walianzia Huko Rujewa,Iringa,Kilombero,Igunga .Nzega nk Leo wote wake Dar Mabilionea.
 
Kwahiyo yeye hawezi kumiliki kampuni unataka nini wewe ? Kuna waswahili wenzako wana kampuni zaidi ya hizo wametulia na wanazidi kuchanua andika hoja za maana sio za kibaguzi kama hizi

wacha kuharibu jukwaa la jamii
 
Sio hao tu na Waarabu na wabulushi pia.Jiulize kwa nini walianzia Huko Rujewa,Iringa,Kilombero,Igunga .Nzega nk Leo wote wake Dar Mabilionea.
Kwenye kando ya hifadhi za wanyapori waarabu wapiga sana
 
Hawa Rostam na Mohamed mi nafikiri wamekuwa waendelezaji tu wa mali nyingi zilizo vunwa kutokana na uwindaji halali (kidogo) na haramu (sana) kutoka kwa watangulizi wao.
Watanzania wengi wenye asili ya Asia toka enzi za mwalimu kurudi nyuma, biashara yao kuu ilikuwa ni uwindaji (wengi wanamiliki vitalu huko mbugani).
Sasa hapa kwenye uwindaji unakuta mtu anaweza kuwa na kibali halali lakini anaunganisha humohumo na uwindaji haramu. Kile kibali kinakuwa kama ngao au kichaka cha kujificha
Hawa ndiyo leo mabilioneo wa nchi yetu Tanzania
Hata Trump ni Rais wa Marekani ambaye ni mkwepa kodi na anajisifia kwa tabia yake hiyo. Nchi za wenzetu ukishavuna mali ukaanzisha vitaga uchumi na kuajiri husumbuliwi
 
Hawa Rostam na Mohamed mi nafikiri wamekuwa waendelezaji tu wa mali nyingi zilizo vunwa kutokana na uwindaji halali (kidogo) na haramu (sana) kutoka kwa watangulizi wao.
Watanzania wengi wenye asili ya Asia toka enzi za mwalimu kurudi nyuma, biashara yao kuu ilikuwa ni uwindaji (wengi wanamiliki vitalu huko mbugani).
Sasa hapa kwenye uwindaji unakuta mtu anaweza kuwa na kibali halali lakini anaunganisha humohumo na uwindaji haramu. Kile kibali kinakuwa kama ngao au kichaka cha kujificha
Hawa ndiyo leo mabilioneo wa nchi yetu Tanzania
Kama magunia ya mkaa ama.
Unalipia kumi
Unauza 200
 
Back
Top Bottom