betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,154
- 714
Sijui ukweli wa aliyetoa amri apigwe, ila hoja zako hazina mashiko kwani ukishamjua mbaya wako na kumjulisha kuwa umemjua kwa hali ya kawaida hatokudhuru kwan wote watamnyoshea vidole kuwa anahusika.Lissu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usingerudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyorudi ulivyoshuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapolala unalindwa na Askari wa Tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako waliokukosa?!?! Lissu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!! Inawezekanaje!! Huo ni uongo mtupu!!