Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,888
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

"The lord can't forget his people."

Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:

1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.

2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.

3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.

4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.

5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.

6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.

7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.

8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?

10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:

Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

14. #13 ni combination ya ushindi.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

Mungu umbariki TAL.
 
Nchi za kiafrika huwa zinaongozwa kwa 'rimoti kontrol' toka kwa mabwanyenye...

Wabonyeza rimoti huwa hawapendi watu wenye kuhoji hoji kama hao kina TAL, JPM, Mugabe, Gadaffi n.k

Huwa wanapenda ngoma tupu au dafu bila maji...

JPM anashindwa kuwa na sifa za kuwa kwenye kundi hili:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

Imani katika uhuru, haki, usawa na demokrasia ndiyo nguzo pekee.
 
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:

1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.

2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.

3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.

4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.

5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.

6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.

7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.

8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?

10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:

Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

14. #13 ni combination ya ushindi.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

Mungu umbariki TAL.
Mungu ametuletea Mkombozi kama Mussa kwa Waisraeli.

Hii comment yangu ihifadhi
 
JPM anashindwa kuwa na sifa za kuwa kwenye kundi hili:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

Imani katika uhuru, haki, usawa na demokrasia ndiyo nguzo pekee.
Well said.
 
Mkombozi hawezi kutoka ndani ya CCM
Never.
 
Mbinafsi Mbowe anatuchelewesha Watanzania.

Hataweza mruhusu Lissu agombee.
MaCCM yanatukamatia hapo tu.
Tunahitaji strong opposition sasa. 2025 iwe mwisho wa Kijani.
 
Huo ndo UKWELI....
Huko kitaa maumivu ya kupanda kwa nauli yanawarengeta wanyonge kwa supidi ya 10G....zigo la lala salama 2023.....wenzetu wanatamba namavieitee huko vijijini....vakeshenii kwa bibi teh teh...
 
Well said.

Binadamu wana mapungufu yao lakini timu hii ya ushindi iwe consolidated:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

cc: joka kuu, Retired, Msanii, Chakaza, CHADEMA, John Mnyika, Erythrocyte, Tindo, WALOLA VUNZYA, denoo JG, Zawadini, Allen Kilewella, Rabbon, Elli, Pascal Mayalla, johnthebaptist, Nowonmai na wazalendo wengine hii nchi ni yetu sote.
 
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

View attachment 2845647

"The lord can't forget his people."

Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:

1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.

2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.

3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.

4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.

5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.

6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.

7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.

8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?

10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:

Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

14. #13 ni combination ya ushindi.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

Mungu umbariki TAL.
Lissu mmoja hawezi kuwakomboa, nguvu ya CCM ni kubwa kuliko mnavyofikiri na pia imejichimbia kila kona .Serikalini, kwa wasanii, katika dini n.k
 
Huo ndo UKWELI....
Huko kitaa maumivu ya kupanda kwa nauli yanawarengeta wanyonge kwa supidi ya 10G....zigo la lala salama 2023.....wenzetu wanatamba namavieitee huko vijijini....vakeshenii kwa bibi teh teh...

Tatizo la msingi liko hapa:

Vyama na wafuasi hawajui vinasimamia nini wala kuamini nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Viongozi nao hali kadhalika. Wajisumamie vipi haki, uhuru, usawa au demokrasia yao inapokiukwa?

Anakuwaje kiongozi asiyejua vyama huwa vina falsafa, imani na hata misimamo kama binadamu aliye hai?
 
Lissu mmoja hawezi kuwakomboa, nguvu ya CCM ni kubwa kuliko mnavyofikiri na pia imejichimbia kila kona .Serikalini, kwa wasanii, katika dini n.k

1. Wapi tunasema LIssu mmoja?

2. Tunasema LIssu kiongozi.

3. Tunasema umoja huu:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

4. #3 hapo watu mamilioni +; wewe haumo humo? Au wewe haikuhusu?

Cc: Bush Dokta
 
Naunga mkono HOJA.

Lissu angalau anaeleweka, na akiongea anamaanisha.

Tuhakikishe bila Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya, haufanyiki uchaguzi wowote!!
 
Back
Top Bottom