Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,172
- 3,392
Ujiwa ulezi hauna madhara kwa mama mjamzito.
Thanx kiongozi wang ila kwann mama wajawazito wanakatazwa kunywa uji wa ulezi mara kwa mara?
Ujiwa ulezi hauna madhara kwa mama mjamzito.
Wapendwa mnisaidie kuhusu ulaji wa pilipili wakati wa ujauzito hasa mimba changa.
Ingia google utapata majibu mazuriwakuu nami ni muhanga.....na style ya kuduu je?
Mkuu ungeandika kwa kiswahili kwa faida wote hapa wamekuelewa wachache umenifanya nirudie rudie kusoma najikuta namaliza bando kwa kingereza chako1. Mimi naona nianzie kwenye aina za vyakula vya kuepuka kula wakati wa ujauzito:-
Epuka vyakula vifuatavyo:-
- samaki wakubwa wa baharini (Marlin, Orange roughy, Tilefish, Swordfish, Shark, Mackerel (king fish), Tuna, n.k). Aina hizi za samaki zina madini mengi ya mercury ambayo yanaweza kumdhuru mtoto).
- maziwa yasiochemshwa, au maziwa yasiochemshwa vizuri.
- nyama mbichi, au nyama ambayo haijapikwa na kuiva vizuri, mayai mabichi, au mayai ambayo hayajaiva vizuri.
- vinywaji vyenye alcohol, au caffeine.
2. Vyakula muhimu vya kula wakati wa ujauzito:-
Kula vyakula vifuatavyo:-
- Carbohydrates Organic fruits, vegetables, beans and whole-grain breads and pastas. In terms of fruits and vegetables, aim to have a serving at each and every meal or snack. Remember, the more colorful (e.g. blueberries, broccoli, sweet potatoes, etc.), the better.
- fish (cold-water fish)-like tilapia, cat fish, etc. These kind of fish have very low levels of mercury.
- Proteins Cooked egg whites, chicken, turkey, soy, protein powder, low-fat dairy products and lean beef.
- Fat Eat as much good fat as possible to support proper brain and nervous system development. Optimal choices include nuts, seeds, avocadoes, olive oil, flaxseed oil, fish oils, cold-water fish and omega-3 eggs.
- Fruits.
http://truestarhealth.com/members/cm_archives12ML3P1A139.html