Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Nipo Arusha kikazi nimefikia maeneo ya Kaloleni kwenye guest house inaitwa Gajas.
Kwa wanaoishi mitaa hii watakubaliana na mimi kuwa eneo hili lina ofisi za mtendaji na pembeni kuna msikiti mkubwa sana.
Katika kupita pita jirani na huo msikiti jioni hii nikakuta maustaadh wanahimizana kuhakikisha mapokezi ya Lipumba yanavunja rekodi.
Hawakuwa wakitumia spika zao lakini nilifanikiwa kuthibitisha kuwa 'kikao kile kilichokuwa offline' kilikuwa na lengo la kufanya mkutano wa Lipumba upate heshima unayostahili.
Ombi langu kwa Lipumba aseme hadharani kuwa CUF ni chama cha dini zote, akemee hadharani kampeni za nyumba za ibada na afungue milango kwa moyo wote kwa wasio waislam kungia, short of that lipumba UTANIKUMBUKA