Lipumba atua Dar kwa kishindo!

Lakini mkuu na sisi enzi za Mkapa na Sumaye, uchumi si ulipaaa kwani mshauri alikuwa Lipumba au?

Na sasa hivi kasungura vipi si na yeye alisema tunapaa na kugawana au?
 
FMES,

Hata mimi naona hii ya Uganda ni myth, labda ni kama watu wa West wanavyosifia kupaa kwa uchumi wa TZ, huku maskini wanazidi kuongezeka.

ukipenda kuiita myth hamna neno, lakini ukweli ni kwamba kwa kipindi ambacho lipumba alikuwa uganda uchumi ulifanya vizuri
 
Lakini mkuu na sisi enzi za Mkapa na Sumaye, uchumi si ulipaaa kwani mshauri alikuwa Lipumba au?

Na sasa hivi kasungura vipi si na yeye alisema tunapaa na kugawana au?

ndio hata wakati wa mkapa na sumaye uchumi ulikwenda juu lakini kukua huko kukatekwa nyara na mafisadi na wananchi hatukupata kitu kama unavyoona.

kasungura alisema ndege inapaa lakini nadhani ndege ilipaa bila abiria au na abiria wachache.
 
Mkuu Kafara,

Kama unayosema ni kweli, basi na uchumi wetu under Mkapa, ulifanya vizuri sana na hata sasa according to the takwimu za air uchumi, bado uko bomba sana, ingawa mshauri sio Lipumba,

mimi nilifikiri hapa JF tulishakubaliana siku nyingi zilizopita kuwa uchumi kukua wakati wananchi wanazidi kuhangika ni a myth na hatuuhitaji bongo uchumi wa namna hiyo, lakini mkuu sina noma kama ni kweli unayosema kuwa uchumi wa Uganda ulipaaa kwa sababu ya Lipumba!

Anyways, nimekusikia mkuu tuendelee kukata ishus!
 
Bin Maryam,

Check facts na dataz zako maana ulichosema hapo sio sahihi sana.

Ni kweli Lech Walesa aliongoza hayo mapambano, pia ni kweli hakuwa na elimu nzuri na nyuma yake kulikuwa na wasomi wengi wakiongozwa na Prof. Mazowiecki.

Mwaka 1989 Solidarity ya Walesa walishinda na watu walitegemea Solidarity waunde serikali na kuchukua urais. Lakini washauri wao wakasema hapana, hawakuwa tayari, wakatumia ujanja ambao ndio uliisaidia sana Poland miaka ya mwanzoni. Wakaamua kuacha kwanza kuchukua urais wakati wanajipanga na kuanda sera mpya. Kwahiyo kwa zaidi ya mwaka kulikuwa na rais mkomunist (Jaruzelski) na PM wa Solidarity.

Baada ya kuona sasa wako tayari kuongoza, mwishoni mwa mwaka 1990 wakaitisha uchaguzi wa rais na Walesa akachaguliwa kuwa rais kwa miaka mitano.

Mwaka 1995, Walesa akapoteza urais na chama cha Kikomunist kikiwa chini ya jina jipya kikachukua urais na kuongoza kwa miaka kumi.

Transition nzuri ya Poland inasemekana ilikuja kutokana na washauri wa Walesa kumwambia asichukue madaraka kwanza. Ile space ya mwaka mmoja ilitumika kujiandaa na pia kuhakikisha hasira na chuki za kutaka kufanya revenge vinapungua kwanza.

Huo ndio mtiririko wa mambo ulivyokuwa kwa Poland.

Unachofanya hapa ni kufafanua kile nilichosema kuwa Lech Walesa hakusoma lakini alichaguliwa kwa sababu alikuwa na GUTS na watu walitaka mabadiliko.

Sukuelezea details ulizotoa hapo kwa sababu ningeenda nje ya mada na point yangu ilikuwa ni kuonyesha kuwa ukitaka mabadiliko achana na kuangalia chama gani kina wenye PHD. Chagua mtu mwenye GUTS za kuleta mabadiliko na akichemsha anapigwa kibuti.
 
Mkuu Kafara,

Kama unayosema ni kweli, basi na uchumi wetu under Mkapa, ulifanya vizuri sana na hata sasa according to the takwimu za air uchumi, bado uko bomba sana, ingawa mshauri sio Lipumba,

mimi nilifikiri hapa JF tulishakubaliana siku nyingi zilizopita kuwa uchumi kukua wakati wananchi wanazidi kuhangika ni a myth na hatuuhitaji bongo uchumi wa namna hiyo, lakini mkuu sina noma kama ni kweli unayosema kuwa uchumi wa Uganda ulipaaa kwa sababu ya Lipumba!

Anyways, nimekusikia mkuu tuendelee kukata ishus!

Lazima tuongeze vigezo vya kukua kwa uchumi. Kwa mfano nafasi za kazi ngapi zimeanzishwa. Tanzania Breweries ilikuwa inatamba kuwa ni mlipa kodi mkubwa lakini inawafanyakazi 3000 tu.
 
Unachofanya hapa ni kufafanua kile nilichosema kuwa Lech Walesa hakusoma lakini alichaguliwa kwa sababu alikuwa na GUTS na watu walitaka mabadiliko.

Sukuelezea details ulizotoa hapo kwa sababu ningeenda nje ya mada na point yangu ilikuwa ni kuonyesha kuwa ukitaka mabadiliko achana na kuangalia chama gani kina wenye PHD. Chagua mtu mwenye GUTS za kuleta mabadiliko na akichemsha anapigwa kibuti.

Bin Marym,

Mbona ulichoandika kiko wazi sana, mbona unaanza kuruka tena. Uliandika hivi:

"Fuatia yaliotokea Poland. Wakati wanataka kuondoa u-kommunisti, kiongozi aliyeongoza alikuwa LECH WALESA. Elimu yake ilikuwa ni sawa na mtu aliyekwenda kuchukua ufundi umeme pale Chang'ombe (VETA). Alikuwa hana program yoyote zaidi ya kudai haki za watu kujiamulia mambo yao wenyewe. Watu waliosoma na wasiosoma na wenye kutaka mabadiliko walikuwa nyuma.

Mabadiliko yalipopatikana walimuachia madaraka kwa muda fulani na walipoona spidi zake ni ndogo katika mambo ya uchumi walimuondoa.

Watanzania hakuna sababu ya kuogopa mtu au chama kisicho na sera nzuri."

Sasa hapo ndio maana nikakuambia mfano wako hauko sahihi maana kwa Poland waliogopa kuchukua nchi mara moja, walikuwa na wasiwasi kwamba hawakuwa tayari, wakawaachia Wakomunist urais na wakatumia huo muda kurecruit watu wapya na kutengeneza sera. Baada ya mwaka ndio wakachukua uongozi wa nchi.

Ukitumia mfano wa Poland unaua hoja yako nzima.
 
Field Marshall ES [COLOR="Red" said:
UN asingekwenda bila waliokuwa wanamtaka kupewa okay na CCM, kama vile ambavyo Mama Migiro, asingekwenda UN bila kwanza kukubaliwa na CCM, kama vile ambavyo Marando asingekwenda EAC bila ya Okay ya CCM, na Mzee Masha pia asingekwenda EAC bila ya kukubaliwa na CCM[/COLOR],QUOTE]

Mkuu wangu mbona unanitisha ati kwa hiyo wale ambao tunafight kivyetu hata huko nje hatuwezi fanikiwa bila mkono wa CCM? unanitisha swahiba!!!! sasa wana wa wakulima tutapona vipi?
 
ukipenda kuiita myth hamna neno, lakini ukweli ni kwamba kwa kipindi ambacho lipumba alikuwa uganda uchumi ulifanya vizuri

Kafara,

Inawezekana Prof. Lipumba alisaidia kukua kwa uchumi wa Uganda, lakini tunapochambua mambo ya uchumi inatakiwa tuzingatie vigezo ambavyo wachumi wanatumia kuchambua uchumi. Ukisema uchumi unakua lazima uangalia pia je ni kwasababu zipi? Unaweza kugundua kwamba uchumi unakuwa na ni trend kwa nchi zote, kwa mfano miaka ya 2000 karibu uchumi wa kila nchi duniani ulikuwa unakua. Hapo unaangalia wastani ni asilimia ngapi, na nchi husika uchumi ulikuwa unakuwa kwa asilimia ngapi.

Kwa case ya Uganda ni kwamba uchumi wakati wa Amin na baadaye waliomfuata mpaka Obote ulikuwa chini, kulikuwa na vita, mipango mibaya nk. Alivyokuja Museven ndio kwa mara ya kwanza nchi ilianza kuwa stable, hivyo mipango
yoyote ya maana kwenye uchumi lazima ingesababisha uchumi ukue. Yaani uchumi ulikuwa chini mno, walivyokuja watu ambao walianza kuweka mipango ya
maana ya uchumi basi hapo uchumi lazima utakua tu. Sasa kama unalinganisha ndio unaangalia je ni factors zipi zilichangia kukua huko kwa uchumi na kwa kiasi gani. Kama uchumi ulikuwa unakua kwa asilimia kama tano zaidi ya nchi jirani hapo inaweza kuwa kweli lakini kama tofauti ilikuwa asilimia mbili, kwa case ya Uganda kunaweza kuwa na sababu zingine nyingi tu.

Ni sawa na Tanzania wakati wa Mkapa, ni kweli Mkapa aliamua kuweka nidhamu kwenye misingi ya uchumi, aliwabana Watanzania walio wengi na akawa anaiba yeye tu na marafiki zake. Hii ilikuwa tofauti na wakati wa Mwinyi ambapo ilikuwa ruksa. Katika mazingira kama hayo hata usipokuwa na wachumi wazuri sana, inategemea uchumi ukue hata kama ni kwa asilimia ndogo.

Kwa nchi za Afrika ambako uchumi uko chini sana, yaani kuna shughuli za uchumi nyingi ambazo hazijafanyiwa kazi, ongezeko la asilimia kama mbili linaweza kusababisha na mambo mengi mno.

Kwa West karibu kila opportunity ya uchumi imeshakuwa covered, uchumi ukipanda hata kwa asilimia 0.5 hapo jua kuna juhudi kubwa kweli imetumika.

Kipimo kizuri cha kukua kwa uchumi kwa Afrika ni kile cha kuongezeka kwa maisha ya wananchi wa kawaida. Kama unabana matumizi, na kurudisha pesa nyingi BOT, baadhi ya ishara za uchumi zinaweza kuonekana zinakuwa, kwa mfano unaweza punguza madeni ya nje lakini kumbe huko vijijini hakuna dawa nk.
 
Bin Marym,

Mbona ulichoandika kiko wazi sana, mbona unaanza kuruka tena. Uliandika hivi:

"Fuatia yaliotokea Poland. Wakati wanataka kuondoa u-kommunisti, kiongozi aliyeongoza alikuwa LECH WALESA. Elimu yake ilikuwa ni sawa na mtu aliyekwenda kuchukua ufundi umeme pale Chang'ombe (VETA). Alikuwa hana program yoyote zaidi ya kudai haki za watu kujiamulia mambo yao wenyewe. Watu waliosoma na wasiosoma na wenye kutaka mabadiliko walikuwa nyuma.

Mabadiliko yalipopatikana walimuachia madaraka kwa muda fulani na walipoona spidi zake ni ndogo katika mambo ya uchumi walimuondoa.

Watanzania hakuna sababu ya kuogopa mtu au chama kisicho na sera nzuri."

Sasa hapo ndio maana nikakuambia mfano wako hauko sahihi maana kwa Poland waliogopa kuchukua nchi mara moja, walikuwa na wasiwasi kwamba hawakuwa tayari, wakawaachia Wakomunist urais na wakatumia huo muda kurecruit watu wapya na kutengeneza sera. Baada ya mwaka ndio wakachukua uongozi wa nchi.

Ukitumia mfano wa Poland unaua hoja yako nzima.

Mtanzania:

Humu ndani kuna watu wana-ubunifu wa kuja na mawazo mapya na kutoa mifano. Na kuna watu kama wewe ambao hawana kipya na kazi yao kuzungusha point za wenzao kwa kuzipinga kwanza na baadaye kuzungumzia kwa kirefu kile walichokipinga.

Sikushangahi sana kwa sababu wewe ni typical ya mtanzania halisi. Ukiongea na mtanzania mwenzako kuwa mtaani panafaa biashara ya saluni na una mpango wa kufanya biashara hiyo. Kesho kashakuzunguka na kufungua hiyo biashara.

Point nilionyesha ilikuwa ya LECH WALESA ku-influence mabadiliko. Pamoja na kuwa na shule ndogo na upungufu wa sera aliweza kufanya mabadiliko. Hilo suala ya kusuburi mwaka mmoja aliondoi facts nilizozisema mimi kuwa alikuwa ni mtu wa kawaida tu asiyena shule wala sera zozote zile za kiuchumi. Na vile vile suala la kusubiri mwaka mmoja aliondoi ujasiri wake kwa kuwa na GUTS za kusimama na kupigania haki zake.

Hizo tactics zilizotumika baada zimeshafanyika dunia. Nyerere na TANU waliichukua madaraka ya Tanzania, baada ya mwaka mmoja uhuru na mwaka, na mwaka uliofatia Jamuhuri. Mugabe pia alifanya hivyo. Ata viongozi wa upinzani wakipata nafasi wanaweza kusubiri. CUF mpaka sasa wanasubiri.

Katika mabadiliko ya kisiasa kuna point of no return (irreversible). Ukishafikia point hiyo ni lazima mabadiliko yatokee hata kama aliyepo madarakani hataki. Lech Walesa na Solidarity movement walifikia point of no return. Na ku-relax kwao baada ya kufikia point hiyo kunaeleweka. Na suala la kwamba waliogopa huko BIG TIME OFF POINT. Madaraka ya utawala nchini Poland yako chini ya waziri mkuu. Mwaka mmoja kabla Walesa achukua urais, Poland bado ilikuwa ni nchi ya kikomunisti kwa jina na rais alikuwa mkomunisti lakini waziri mkuu alikuwa ni reformer na nchi ilikuwa tayari kwenye mabadiliko.

Kwa mtaji huu ata Mrema asiye na shule akiweza kuongoza mabadiliko na kufikia point of return ambayo itakifanya chama tawala kufanya mabadiliko makubwa, watanzania wengi watakuwa na furaha.

Kwa kumalizia tu. Siasa ni kama chess gama na sio rocket science, hivyo sio kila wakati watu wasubiri. Vyama vya upinzani vilipewa muda wa kukua kwa mapendekezo ya JKN na matokeo yake ni Grinch kaiba zawadi za Krismas.
 
Kama ulikuwa unaongelea viongozi wa upinzani kutokuwa na shule, nitakuomba msamaha kwamba sikukuelewa. Kwanza sitakuelewa, viongozi wa Upinzani Tanzania hawana shule ipi? Tuna akina Lipumba, Slaa, Kitila, Mbowe, Hamad, naona wote wana shule.

Lakini nikisoma uliyekuwa unamjibu (Mkamap), nagundua wazi yeye aliongelea upinzani kutokuwa na sera na wala sio shule. Sijaona hata neno moja la shule kwenye ujumbe wa Mkamap.

Ndio ukaingiza suala la Solaridarity kwamba nao hawakuwa na sera zaidi ya ile ya kudai haki ya kujiamulia mambo yao wenyewe. Mimi nikakuambia mfano wako sio sahihi kwasababu Solidarity waliamua kuchelewesha kuchukua urais mpaka walipokuwa tayari.

Kama nilivyoandika hapo juu kama ulikuwa unaongelea Walesa kutokuwa na shule, basi samahani mimi sikukuelewa hoja yako nzima. Ila kama ulikuwa unaongela sera, uko wrong mkuu na inabidi ukubali badala ya kuanza kuleta mambo ya biashara za saloon, I hope mijadala ya JF ni zaidi ya hicho kiwango unachoongelea.

Kama unaona kiwango cha sisi wengine kinafanana na mijadala ya kwenye saloon, well, ni mawazo yako na hakuna mtu anaweza kukukataza, ila wengine hatujihusishi na matusi, maana hiyo level ni too low kwa wengine. Nguvu ya hoja hata siku moja haimbatani na matusi.
 
Kafara,

Inawezekana Prof. Lipumba alisaidia kukua kwa uchumi wa Uganda, lakini tunapochambua mambo ya uchumi inatakiwa tuzingatie vigezo ambavyo wachumi wanatumia kuchambua uchumi. Ukisema uchumi unakua lazima uangalia pia je ni kwasababu zipi? Unaweza kugundua kwamba uchumi unakuwa na ni trend kwa nchi zote, kwa mfano miaka ya 2000 karibu uchumi wa kila nchi duniani ulikuwa unakua. Hapo unaangalia wastani ni asilimia ngapi, na nchi husika uchumi ulikuwa unakuwa kwa asilimia ngapi.

Kwa case ya Uganda ni kwamba uchumi wakati wa Amin na baadaye waliomfuata mpaka Obote ulikuwa chini, kulikuwa na vita, mipango mibaya nk. Alivyokuja Museven ndio kwa mara ya kwanza nchi ilianza kuwa stable, hivyo mipango
yoyote ya maana kwenye uchumi lazima ingesababisha uchumi ukue. Yaani uchumi ulikuwa chini mno, walivyokuja watu ambao walianza kuweka mipango ya
maana ya uchumi basi hapo uchumi lazima utakua tu. Sasa kama unalinganisha ndio unaangalia je ni factors zipi zilichangia kukua huko kwa uchumi na kwa kiasi gani. Kama uchumi ulikuwa unakua kwa asilimia kama tano zaidi ya nchi jirani hapo inaweza kuwa kweli lakini kama tofauti ilikuwa asilimia mbili, kwa case ya Uganda kunaweza kuwa na sababu zingine nyingi tu.

Ni sawa na Tanzania wakati wa Mkapa, ni kweli Mkapa aliamua kuweka nidhamu kwenye misingi ya uchumi, aliwabana Watanzania walio wengi na akawa anaiba yeye tu na marafiki zake. Hii ilikuwa tofauti na wakati wa Mwinyi ambapo ilikuwa ruksa. Katika mazingira kama hayo hata usipokuwa na wachumi wazuri sana, inategemea uchumi ukue hata kama ni kwa asilimia ndogo.

Kwa nchi za Afrika ambako uchumi uko chini sana, yaani kuna shughuli za uchumi nyingi ambazo hazijafanyiwa kazi, ongezeko la asilimia kama mbili linaweza kusababisha na mambo mengi mno.

Kwa West karibu kila opportunity ya uchumi imeshakuwa covered, uchumi ukipanda hata kwa asilimia 0.5 hapo jua kuna juhudi kubwa kweli imetumika.

Kipimo kizuri cha kukua kwa uchumi kwa Afrika ni kile cha kuongezeka kwa maisha ya wananchi wa kawaida. Kama unabana matumizi, na kurudisha pesa nyingi BOT, baadhi ya ishara za uchumi zinaweza kuonekana zinakuwa, kwa mfano unaweza punguza madeni ya nje lakini kumbe huko vijijini hakuna dawa nk.

kwa kipindi ambacho lipumba alikuwa uganda uchumi wao ulikuwa
unakuwa zaidi ya 7% na wataalam wa uchumi walianza kusema kwamba huenda uganda ikajikwamua kutoka kundi la nchi masikini (ldcs).
hiyo ilikuwa miaka ya mwanzoni ya 1990s. sasa nini kimewapata hawa wenzetu nadhani kinafanana na kinachotupata bongo.

japokuwa sina matatizo na maelezo yako kuhusu vigezo vya kuangalia kama kweli uchumi binafsi napenda kutofautisha kati ya kukua kwa uchumi na maendeleo ya nchi.
 
Bin Maryam,

Kama ulikuwa unaongelea viongozi wa upinzani kutokuwa na shule, nitakuomba msamaha kwamba sikukuelewa. Kwanza sitakuelewa, viongozi wa Upinzani Tanzania hawana shule ipi? Tuna akina Lipumba, Slaa, Kitila, Mbowe, Hamad, naona wote wana shule.

Lakini nikisoma uliyekuwa unamjibu (Mkamap), nagundua wazi yeye aliongelea upinzani kutokuwa na sera na wala sio shule. Sijaona hata neno moja la shule kwenye ujumbe wa Mkamap.

Ndio ukaingiza suala la Solaridarity kwamba nao hawakuwa na sera zaidi ya ile ya kudai haki ya kujiamulia mambo yao wenyewe. Mimi nikakuambia mfano wako sio sahihi kwasababu Solidarity waliamua kuchelewesha kuchukua urais mpaka walipokuwa tayari.

Kama nilivyoandika hapo juu kama ulikuwa unaongelea Walesa kutokuwa na shule, basi samahani mimi sikukuelewa hoja yako nzima. Ila kama ulikuwa unaongela sera, uko wrong mkuu na inabidi ukubali badala ya kuanza kuleta mambo ya biashara za saloon, I hope mijadala ya JF ni zaidi ya hicho kiwango unachoongelea.

Kama unaona kiwango cha sisi wengine kinafanana na mijadala ya kwenye saloon, well, ni mawazo yako na hakuna mtu anaweza kukukataza, ila wengine hatujihusishi na matusi, maana hiyo level ni too low kwa wengine. Nguvu ya hoja hata siku moja haimbatani na matusi.

Naomba msamaha kwa matusi yangu. Point yangu hiko palepale.
 
Mkuu ES
Sist Caroline hajambo..anachapa mzigo pale Embassy...

Naona wachangiaji wengi wengi tulivuka kiwango, kuna mtu yoyote mwenye picha ya namna namna mkutano ulivyokuwa au hata audio yoyote?
Cha Ajabu na kusikitisha Hakuna magazeti yaloandika mkutano huo wa kihistoria. Hapa tukianza ule upinzani baina ya chama na chama lkn waandishi hawakuifanyia HAKI CUF...au ndio hadi wahongwe ndio waandike? Hata Gazeti la kuaminika wameshindwa hata kuweka habari yoyote?
Sina tatizo la MKJJ aliyeamua kuongoza Jahazi la Chadema ONLINE. Taarifa tulizokuwa tunazipata thru Brother Mnyika sasa zinaletwa rasmi na Brother MKJJ.Keep it up...labda Kanda2 nae ataanza kutuletea za CUF au ndo ilikuwa zima moto za Kanda2....Kanda2 umeanzisha thread hatukuoni tena..waambie Jamaa wa CUF wasiisahau Hadhira ya ONLINE
 
Samahan kama kuna gazeti lolote liliandika habari hizi basi mdau yoyote wa JF atupe link...
 
Mkuu wangu mbona unanitisha ati kwa hiyo wale ambao tunafight kivyetu hata huko nje hatuwezi fanikiwa bila mkono wa CCM? unanitisha swahiba!!!! sasa wana wa wakulima tutapona vipi?

Hapana mkuu, inategemea nafasi uliyokuwa nayo bongo kabla ya kupewa kazi huko UN, hao niliowataja ni wengine walikuwa na ranks za ubalozi, wengine walikuwa senior officers, ministers, Masha alikuwa katibu wa TANU, Lipumba ni mwenyekiti wa CUF, sasa ndugu yangu na wewe kama upo huko kwenye hizo ranks basi jitayarishe mkuu kuomba clearance ya serikali ya CCM, ni utaratibu tu wa kawaida, sidhani kama ni big deal, isipookuwa ukiwa na political rank kubwa hapo kweli.
 
Back
Top Bottom