ze encyclopedia
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 316
- 180
msaada tutani, wengine wanasema ukinywa pombe kali unakuwa strongly erect, lakn madaktar wanasema pombe inaua nguvu za kiume? Lipi la ukweli

Na kwa nini at first place umeuliza hili swali
Unataka ukalianzishe na wewe
Au ushaona wadudu hawapandi vyema
Na visisimua mwili vingine.Ni kweli hiyo pombe kali Kama konyagi inasaidia na madaktari wanasema ukizidisha ndo inakuharibu badala ya kukusaidia. The same to other types of pombez!
msaada tutani, wengine wanasema ukinywa pombe kali unakuwa strongly erect, lakn madaktar wanasema pombe inaua nguvu za kiume? Lipi la ukweli
Mi naitaji kufahamu tuuu jamani, upya wangu ktk kurasa hizi isiwe sabb. Kwan huwa nackia tu . Hapana tatizo lingine nan mimi siendi pombe kabsaaaaaaaaa