Lini timu ya olimpiki inarudi nyumbani?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,043
8,610
Wadau
mwenye kujua timu ya Olimpiki inarudi TZ anifahamishe nataka nikapige nao picha ya kumbukumbu pale airport. Pia nimeambatanisha kibonzo cha Timu ya Cameroon ikiwa inarejea home. je TZ walienda wangapi na wamerejea wangapi? vp hakuna aliyetokomea London?
 

Attachments

  • olimpiki.jpg
    olimpiki.jpg
    325.7 KB · Views: 147
Hahaha! bado wanafanya shopping na kupiga picha kuweka facebook vuta subira karibu wanarudi
 
Mi sijui na itapokelewa kwa kauli zipi za hujuma
 

Attachments

  • 114486658[1].jpg
    114486658[1].jpg
    95.3 KB · Views: 40
Mkuu kupiga nao picha tu haitoshi, watengenezee vibonzo vya medali, dhahabu, fedha na shaba!
 
wanaludi kesho kwa bus,so kama tunaweza tujumuike kwa wingi tukawapokee mashujaa wetu pale ubungo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom