LINDI: Wanawake wagalagala chini kwa ishara ya upendo kwa Rais wa Jamhuri ya muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan

Nikikuta dada yangu ama mwanangu ama mke wangu anafanya huo ujinga atajuta nitatandika ngumi mpaka akili imkae unaacha kupambana unaenda kushangilia watu wako kwenye ma v8
Huna maarifa ndiyo maana wenzako tulishawahi pigania Gesi kwa kuleta migomo na korosho pia tukaishia kupigwa tu wewe sijuwi ulitusaidia nini? Ngoja tujaribu kuwa wapenzi wema kwa watawala wa kama mfanyavyo wenzetu labla tutajaaliwa kidogo. HAAAA, HAAAA
 
Ni Kupungukiwa Akili

Umasiki ni mtaji mkubwa sana kwa CCM kwa miaka mingi ijayo,
Huna maarifa ndiyo maana wenzako tulishawahi pigania Gesi kwa kuleta migomo na korosho pia tukaishia kupigwa tu wewe sijuwi ulitusaidia nini? Ngoja tujaribu kuwa wapenzi wema kwa watawala wa kama mfanyavyo wenzetu labla tutajaaliwa kidogo. HAAAA, HAAAA
 
Nikikuta dada yangu ama mwanangu ama mke wangu anafanya huo ujinga atajuta nitatandika ngumi mpaka akili imkae unaacha kupambana unaenda kushangilia watu wako kwenye ma v8
Huna maarifa ndiyo maana wenzako tulishawahi pigania Gesi kwa kuleta migomo na korosho pia tukaishia kupigwa tu wewe sijuwi ulitusaidia nini? Ngoja tujaribu kuwa wapenzi wema kwa watawala wa kama mfanyavyo wenzetu labla tutajaaliwa kidogo. HAAAA, HAAAA
 
Hawa Wanawake NI Malaya , na Wana ukimwi kmmk

Wanawake wa Kata ya Mnazi Mmoja mkoani Lindi, wakigalagala chini ikiwa ni ishara ya upendo wao kwa Rais Dkt @samia_suluhu_hassan na kwamba wamefurahishwa na kitendo cha yeye kuitembelea Kata hiyo.View attachment 2432843
Uwaambie pia kuwa ndege Yao imekamatwa huko ughaibuni pamoja na mabehewa kadhaa. Usisahau kuwakumbusha na Bei ya unga na Mafuta Ili watembee vizuri
 
Unasema ukweli lakini kumbuka Mikoa ya Kusini ina umasikini wa hali ya juu hiwezi kuifananisha na Kilimanjaro na Arusha.

Labda Samia atakuja mpango maalumu kuipa kipaumbele Mikoa hiyo kwa wawekezaji.
Tanzania nzima ina watu maskini wa kutupa hamna nafuu
 
Mimi nimetembelea Mikoa hiyo ya Kusini na Kilimanjaro na Arusha Kusini watu ni masikini nyumba zimeezekwa kwa nyasi na Makuti huwezi kuona hiyo Moshi Arusha wao labda kwenye Clubs na maeneo ya Watalii.

Huwezi kufananiisha hata kidogo.
 
2025 sisi machadema tutaungana na ccm kumpitisha samia kwa kishindo ili kuwakomoa sukuma gang
Samia kaahidi Wabunge sabini wa Chadema kuingia Bungeni na Trust me Uchaguzi ujao atazoa kura kila upande ameonesha kipaji.
 
Back
Top Bottom