Lindi: Daktari tarajali ahukumiwa kwenda jela mwaka 1 kwa kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu Isaya Makali Lucas, Daktari tarajali wa Hospitali ya Rufaa Sokoine kwenda Jela Mwaka 1 au kulipa faini ya Tsh. 1,000,000/= baada ya kukiri makosa ya kushawisi na kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=.

Mshtakiwa huyo alipokea hongo ya Tsh. 70,000/= kutoka kwa Yusufu Hamisi Juma ambaye ni ndugu aliyekuwa akimuuguza Mgonjwa Saidi Omari Nyanyari

Mshtakiwa amelipa faini ya Tsh. 500,000/ = kwa kila kosa na kuachiwa huru

Chanzo: TAKUKURU
 
Ila waliopiga escrow, wengine ni maaskofu, wanakaribishwa mpaka ikulu
 
Askari wa usalama barabarani kila siku wanapokea rushwa hadharani! Lakini huwezi kuwaona wamekifikishwa mahakamani.

Bado kuna mapapa waliojaa kwenye mfumo. Hawa ndiyo wanakula hiyo rushwa mpaka wanavimbiwa! Ila huwezi kuwasikia wamefikishwa mahakamani. Ni dagaa peke ya ndiyo wanao shitakiwa kila siku kwa kupokea rushwa.
 
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu Isaya Makali Lucas, Daktari tarajali wa Hospitali ya Rufaa Sokoine kwenda Jela Mwaka 1 au kulipa faini ya Tsh. 1,000,000/= baada ya kukiri makosa ya kushawisi na kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=.

Mshtakiwa huyo alipokea hongo ya Tsh. 70,000/= kutoka kwa Yusufu Hamisi Juma ambaye ni ndugu aliyekuwa akimuuguza Mgonjwa Saidi Omari Nyanyari

Mshtakiwa amelipa faini ya Tsh. 500,000/ = kwa kila kosa na kuachiwa huru

Chanzo: TAKUKURU
Politics is source of all evil, hakuna kitu kama hiyo ni kuwahadaa wananchi
 
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu Isaya Makali Lucas, Daktari tarajali wa Hospitali ya Rufaa Sokoine kwenda Jela Mwaka 1 au kulipa faini ya Tsh. 1,000,000/= baada ya kukiri makosa ya kushawisi na kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=.

Mshtakiwa huyo alipokea hongo ya Tsh. 70,000/= kutoka kwa Yusufu Hamisi Juma ambaye ni ndugu aliyekuwa akimuuguza Mgonjwa Saidi Omari Nyanyari

Mshtakiwa amelipa faini ya Tsh. 500,000/ = kwa kila kosa na kuachiwa

Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu Isaya Makali Lucas, Daktari tarajali wa Hospitali ya Rufaa Sokoine kwenda Jela Mwaka 1 au kulipa faini ya Tsh. 1,000,000/= baada ya kukiri makosa ya kushawisi na kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=.

Mshtakiwa huyo alipokea hongo ya Tsh. 70,000/= kutoka kwa Yusufu Hamisi Juma ambaye ni ndugu aliyekuwa akimuuguza Mgonjwa Saidi Omari Nyanyari

Mshtakiwa amelipa faini ya Tsh. 500,000/ = kwa kila kosa na kuachiwa huru

Chanzo: TAKUKURu

ni wagonjwa wengine watateka ,hyo adhabu ni kubwa sana,70k Kwa mwaka,waangalie umuhimu wa mtu huyo na kosa alilofanya
 
Back
Top Bottom