Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
 
Itoshe kusema una akili fupi sana
 
Jaribu hata kufikilia uwekwaji wa hilo daraja kama la manzess pale,
Oky hata wakiweka, kwa vibanda vingapi vitakavyo kaa pale?

Bora hata ungesema pakae kibanda cha wale Kaki🤣🤣🤣,
Mtu kavurugwa huko, akija ni One way.
 
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
Halifai ni eneo la barabara
 
Nchi huru na kila mtu ana haki ya kutoa mawazo...ana utofauti gani na wale waliofunga waya badala ya nati kwenye lile behewa la jana..😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Ana utofauti gani na anayeiba hela Nchini tena za Mikopo then anazirudisha kule kulikotoka Mkopo 😀😀😀😀😀
 
Unakuta huyu mtu yupo kwenye timu ya kotoa maamuzi yenye umuhimu sana kwa ajili ya familia, jamii na nchi kwa ujumla
 
Nikishwai waza matumizi ya like eneo shida ni miundombinu yake. Mtu atafikaje pale bila kuhatarisha maisha yake au bila kuharibu mazingira. Inshu ya usalama ni muhimu sana.
 
Gari likifeli breki na kufanya mauaji mtawalaumu serikali kwa kuweka vibanda hapo chini ya daraja

Wazo lako halitekelezeki
 
Ndio itakuwa kazi ya hilo daraja kama la manzese likijengwa upande mmoja.
 
Gari likifeli breki na kufanya mauaji mtawalaumu serikali kwa kuweka vibanda hapo chini ya daraja

Wazo lako halitekelezeki
Kama umewahi kufika na kuona utagundua hakuna uwezekano wa gari kuingia pale kwasababu pako juu kama step moja ya ngazi kubwa.

Pia hakuna gari zinazopita kwa kasi kwasababu pale ni karibu na taa.
 
Umerogwa wewe, unataka kuleta mauaji ya kimbari kwa ajali, watu wavivu kupanda vivuko, pia itaharibu mandhari ya jiji
Bila hicho kivuko hakuna anayeweza kuingia pale kwasababu ya ile fensi. Pia pale ni juu ngazi moja hakuna gari ya kuparamia raia.

Hadhi itakuwa bora zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
Kumbe wewe kichaa eeh..
 
Hilo ni eneo hatarishi.
Inaweza kutokea hitilafu ya miundo mbinu ikaathiri wamachinga na raia au hata hitilafu la umeme likaleta athari ya watu na miundombinu barabara...halifai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom